Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Wape wape
Screenshot_20230310-224410.jpg
 
B
Taja international schools za mwanza alafu nitaje za Arusha nikukate wenge chap.
Bro zipo Zaid ya kumi hivi kumbe hat mwanz huijui wenzako bila kupaendelea watakujibu

Kuna lorete,isamilo,mwanza,buswelu, lake nk watamalizia wenzagu
 
Brother unajua mana ya international schools?! International schools kwa Bongo zinajulikana na zinahesabika
 
Back
Top Bottom