Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Sijui unambie wewe mkuu
Ghorofa 11
IMG-20230315-WA0008.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi Sikia Tennis kwenye Mji wa wafugaji maana Kila sehemu ni mazizi ya ng'ombe na nguruwe 😀😀

Chuga
 
Mikutano classified kama hii huwezi kukuta inafanyika kwenye Miji ya vichochoroni kama Mwanza.

 
Back
Top Bottom