Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Arusha kuna umuhimu gani wakati kuna KIA, na hapo Dodoma kuna umuhimu gani wakati kuna JNIA, au Dodoma ndege za kimataifa zitakuwa ni za nchi gani au wageni kutoka wapi au ni wabunge?
Watapakia kuku wa MOROGORO na SALANDA.
 
Screenshot_20230401-093606.png
Screenshot_20230401-093702.png
 
Hahaha Jana nilikua igogo pale nliivuta bang za kuzid now nipo masaki Ila pasaka narud Tena rock city ila naingia mecco kwa bimkubwa kwanza alaf mida ya jion tunza mpk saa moja usiku naingia cask mpk mida ya popo Alf namalzia galaxy
Hakika unavuta bangi ukiwa uchi na ukiwa umekaa kwenye ungo.
 
Back
Top Bottom