Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

IMG-20230409-WA0020.jpg
 
Unatesekea ukiwa wapi? Sijawahi kuona omba omba wa kisukuma, tena wadada wakisukuma huwezi kuwaona wanafanya kazi hatarishi kama za wanawake wa arusha na Kilimanjaro waliojaa kwenye mabaa na kazi yao kuu ni barmaids.
Sasa unadhan ni uongo bob?! Nenda posta pale DIT utawakuta wasukuma kibao..na hao ndo wanaongoza kwa kuomba omba
 
Watakuwa wasukuma wenye asili ya arusha
Mskuma mskuma tu ata atokee New York. Ukishakuwa mskuma, ushamba unakuwa deep kwenye DNA, part and parcel of your identity. Hajatokea mjanja alafu akawa msukuma. Two opposites.
 
Mskuma mskuma tu ata atokee New York. Ukishakuwa mskuma, ushamba unakuwa deep kwenye DNA, part and parcel of your identity. Hajatokea mjanja alafu akawa msukuma. Two opposites.
Wasukuma wangap wajanja wa mjini na wanawachota akili, Gwaji boy unazani ni mshamba kama wewe mjane.
 
Anawachota wajinga tu, we mke wa zumaridi. Mshamba by nature.
Wewe ukitaka kujua potential ya Mwanza ingia website ya air tanzania uangalie Flight ya Mwanza-Dar au Dar-Mwanza halafu linganisha na Dar-KIA!
Ushamba ni inferiority ambayo nyinyi mnayo mkizidiwa mnakimbilia kuwaita washamba!
Ulishawahi kujiuliza hao washamba wanafanyaje mambo makubwa kama ni was hamba!
Tena subirini baada ya miaka kumi tunawazidi kila kitu usukumani huku watu wanajenga nyumba kali kuanzia katori,Mwanza,kahala mpaka Simiyu!
 
Mskuma mskuma tu ata atokee New York. Ukishakuwa mskuma, ushamba unakuwa deep kwenye DNA, part and parcel of your identity. Hajatokea mjanja alafu akawa msukuma. Two opposites.
Wewe unaunjanja upi ambao unafikiri unatuzidi sisi. Acha kubwabwaja vitu ambavyo huwezi ku-prove.
 
Back
Top Bottom