Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Yule @ Quality control alisema Iko wilaya nyingine tofaut na ARUSHA DC wakat ipo Arusha DC [emoji23][emoji23]
Arusha DC kwani ndo Arusha Jiji bro?[emoji1484]hii ni Arusha city council jua kutofautisha
Screenshot_20230419-145008.jpg
 
Asa si ndo hyo DC imextend Kijiji ila mwanza hatna Kijiji jomba now tunasubili manispaa mbili tena kisesa na usagara halafu unatunisha misuli
Ukiongea uwe na uhakika hiyo ni nini Tena mwanza city council ...ndo mana nasema wasukuma Huwa mnakurupuka sana
Screenshot_20230419-160221.jpg
 
Mchanganyiko but waliojaa ni wachaga na biashara zao za maduka ya takataka na migahawa Sasa waarusha mnajua biashara? Nan muarusha anamilki Hela ya maana
Ase kumbe we Amna unachojua bora unyamaze kimya ... Mathiasi Manga ambaye anahotel ya gold crest huko kwenu wasukuma ni muarusha
 
Yani kumbe Ndo hivi alafu mnataka fananisha Mwanza na Arusha ase Mko mbaliView attachment 2593038
Boss hiyo at ew unawez andika Kwa Arusha Yako lengo wakuu waone wafanyie Kaz mm mwenyew naunga mkono hoja siwez sifu jomba lazima nilalamike sana ukisifu wanajua kuwa mnakila kitu,,,

At haya mabattle bas tu ila yanatunyima Hela Kwa huu ujinga wetu wakuu wakisoma wanaona kama mkoa Fulani wanakila kitu kumbe tunalia,, mwanza kubwa mno kuboresha Barabara zote watoe trillion moja,Sasa jiulize wanaweza kutoa hyo Hela?

Mwisho tz bad sana viongozi wanalalia sana dar yaan dar ikikohoa TU chapu wanapewa Hela ila sisi adi tulielie
 
Sasa inategemea unajua sisi wasukuma tunapenda fursa sana hasa zenye kuingiza mipunga mikubwa hivo Kuna kata kama pamba,nyamagana zimejaa mashule,,na taasi hvo sio Makaz sana,pia mirongo ni eneo la biashara Kwa sana na sio makazi coz lipo CBD
Nimepost Ilboru ukasema kwamba kata watu 9000 kwamba bado ni kijijin na hapo ni Arusha DC ...nami nimekuonesha mwanza city. Council kata yenye watu 2000 nayo napo ni kijijin?
Pe
 
Sasa inategemea unajua sisi wasukuma tunapenda fursa sana hasa zenye kuingiza mipunga mikubwa hivo Kuna kata kama pamba,nyamagana zimejaa mashule,,na taasi hvo sio Makaz sana,pia mirongo ni eneo la biashara Kwa sana na sio makazi coz lipo CBD

Pe
Sasa mbona unaanza kutoa sababu babu we mwanzo ulicheka means unacheka bila kujua sababu wewe una conculude ..nami hapo nimeconclude ....vitu vingine makazi kama hivi so vyakucheka mkuu....mfano [emoji1484]Arusha kata ya sokoni 1 inawakazi wengi sana na hata mwanza hakuna kata yenye wakazi wengi kama hii ...kata ya sokoni ni moja wapo ya kata 10 zenye wakazi wengi Tanzania
Screenshot_20230419-171206.jpg
 
Sasa mbona unaanza kutoa sababu babu we mwanzo ulicheka means unacheka bila kujua sababu wewe una conculude ..nami hapo nimeconclude ....vitu vingine makazi kama hivi so vyakucheka mkuu....mfano [emoji1484]Arusha kata ya sokoni 1 inawakazi wengi sana na hata mwanza hakuna kata yenye wakazi wengi kama hii ...kata ya sokoni ni moja wapo ya kata 10 zenye wakazi wengi Tanzania View attachment 2593105
Mwanangu unatumia custom rom ya pixel experience au Google pixel?
 
Sasa mbona unaanza kutoa sababu babu we mwanzo ulicheka means unacheka bila kujua sababu wewe una conculude ..nami hapo nimeconclude ....vitu vingine makazi kama hivi so vyakucheka mkuu....mfano [emoji1484]Arusha kata ya sokoni 1 inawakazi wengi sana na hata mwanza hakuna kata yenye wakazi wengi kama hii ...kata ya sokoni ni moja wapo ya kata 10 zenye wakazi wengi Tanzania View attachment 2593105
Haionekan post upya
 
Ulichopost ew unakisoma au mbona hakionekan
 
Back
Top Bottom