Qualitycontrol
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 777
- 498
Nani kakwambia watu wa Arusha ni wachaga bro?Uongo mkubwa mnaukabila mno na roho mbaya sana hakuna asiye wajua wachaga ukifungua biashara hko labda upitie mgongo wa mchaga aonekane mmiliki lakin bila hivo ni shida