Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Asee sio SA hapa ni ArushaView attachment 2640719
Angalia mji wa Eldoret nchini kenya tena wala sio jiji ni township tu👇👇
IMG-20230530-WA0060.jpg
 
Unafurahia haka kajenga wakati huo barabara zenu na majiji mengine ni mabonde na matope, na muda huo TAMISEMI wanapeleka bilion 800 zingine kwenye miundombinu ya jiji lenu la Dar kwenye mradi wa DMDP.
Haha achan na b 800 ni ile Jenngo la ubungo tu mtu mna machingaa complex ,mna Kariakoo, mna Soko la kisutu ,mna Soko la magomen duh
 
Haha achan na b 800 ni ile Jenngo la ubungo tu mtu mna machingaa complex ,mna Kariakoo, mna Soko la kisutu ,mna Soko la magomen duh
Kuna majiji mengine hayana masoko wala stendi lakini bado wanapeleka zaidi ya bilion 300 kwa ujenzi wa soko hapo ubungo.
 
Yan mi sielewi unakuta kiongozi amezaliwa mbarali uko kwao maskin ila anapamban kutengeneza dar huku kwao mbarali pakiendelea na wimbi la umaskini
Watanzania tukome kabisa hasa wa mikoani ...tunakimbilia mno dar ,Kila mtu dar hii imewafanya hata viongozi waone dar ndio Kila kitu ,,,ndo kwenye wapiga kura wengi .,, pengine tungekuwa na mindset ya kuangalia fursa sehemu nyingine haya yasingetokea
 
Back
Top Bottom