Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,200
- 5,879
Arusha mall ni jina hamna kitu pale ..by the way chukua aim mall na Arusha mall changanya Kwa pamoja bado ukubwa wa rock city hamtaufikia [emoji1787]Kwamb Rock City Mall mpka Leo mnajisifia nayo?!Kipind Rock City Mall inazinduliwa Arusha kulikuw hamna mall hata moja ..Leo hii Arusha Kuna Aim mall ,Kuna Arusha mall ,Mwanza Bado mmebaki kujisifia na mall moja alafu mnasema eti private sector nyingi zipo huko nonsense!