Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Kwamb Rock City Mall mpka Leo mnajisifia nayo?!Kipind Rock City Mall inazinduliwa Arusha kulikuw hamna mall hata moja ..Leo hii Arusha Kuna Aim mall ,Kuna Arusha mall ,Mwanza Bado mmebaki kujisifia na mall moja alafu mnasema eti private sector nyingi zipo huko nonsense!
Arusha mall ni jina hamna kitu pale ..by the way chukua aim mall na Arusha mall changanya Kwa pamoja bado ukubwa wa rock city hamtaufikia [emoji1787]
 
Kelele kibao..huko Twitter mmepigwa spana za kutosha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji116]
Screenshot_20230627-185648.jpg
20230627_191827.jpg
 
Swafi kabisa. Mwanza haisubiri matunda ya royal tour kutusua, washikaji wanadhani idadi ya maghorofa ndo kuwa juu. Hawajui kwamba unaweza kufika nyumba x isiyo ya ghorofa ila unaisho kama uko peponi. Hadi ujenzi unaoendelea kwa takwimu za 2022 mwanza ni kinara kumpiku hadi dsm.
Wasisahau Shenzhen ni Mji wenye Magorofa mengi kuliko ata jiji la Kibiashara la Shanghai
 
Back
Top Bottom