kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 9,229
- 11,531
Ikiwa hivo Arusha sasa inakua Diplomatic city ya Africa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama anazidi kuiheshimisha Arusha.Ikiwa hivo Arusha sasa inakua Diplomatic city ya Africa
Doesn't stop mwanza to be the largest cityMama anazidi kuiheshimisha Arusha.
[emoji23][emoji23][emoji23]acha wivuuDoesn't stop mwanza to be the largest city
Maumivu 😆😆😆Doesn't stop mwanza to be the largest city
Hii ni mega project 15+FSite Mpya ...mega investment [emoji116]
Wakati mkiendelea kudanganyana sisi maendeleo yapo ground View attachment 2686096View attachment 2686097
Sasa Arusha wakisema wawe wanaleta hizi buildings humu jukwaani hamtatisha ujue..Site Mpya ...mega investment [emoji116]
Wakati mkiendelea kudanganyana sisi maendeleo yapo ground View attachment 2686096View attachment 2686097
Tutakosa kupumua Mwanza ikipata jengo la gorofa 15 .Hii ni mega project 15+F
[emoji23][emoji23][emoji23]Tutakosa kupumua Mwanza ikipata jengo la gorofa 15 .
Zikizidi 10 mnitag Niko paleee [emoji16][emoji16]
Ile hotel ya nssf mbona ina ghorofa 17Tutakosa kupumua Mwanza ikipata jengo la gorofa 15 .
Zikizidi 10 mnitag Niko paleee [emoji16][emoji16]
Haivutii na ni fupi,PAP building Ina 17floors lakini ni ndefu kuliko hicho kihoteli kibayaIle hotel ya nssf mbona ina ghorofa 17
Acha uongoIle hotel ya nssf mbona ina ghorofa 17
Ni 16Ile hotel ya nssf mbona ina ghorofa 17
Imagine hapa halijakamilika ...... Arusha nzima hamna jengo lenye helipad na urefu wa meter 95 ...kama lipo leta hapa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji116]Haivutii na ni fupi,PAP building Ina 17floors lakini ni ndefu kuliko hicho kihoteli kibaya
Compare & Contrast kutoka Zoom
VS
Uongo kivipi wakati ina floor 17 au ulizani ina floor ngapi mkuu?Acha uongo
Ukiweka helipad na ground pamoja na underground floor, huna hoja.
Hivi mkuu samahani ni kwamba hilo jengo ujenzi hakuisha kabisa ama laUnalinganisha jengo liliisha na jengo ambalo lipo 62% subiri na jengo la Mwanza liishe, then tuyalinganishe kwa fair kabisa.