Kahama ina wakazi wa asili wengi sana mkoa wa shinyanga pekee ni moja ya mikoa yenye watu wengi lakini pia kuna mwingiliano mkubwa na watu wa rwanda, Burundi na uganda hata ukienda kigali sasa kuna magari ya kila siku ya moja kwa moja hadi kahama kwa hiyo muingiliano unazidi kuwa mkubwa na watu wa hizi nchi wakiwa njiani kuelekea dar au dodoma mji mkubwa wa kwanza wanaokutana nao ni kahama na ndio maana serikali imeona iwekelee bandari kavu kubwa isaka kwahio mzigo utakua ukitoka bandarini sgr ikikamilika moja kwa moja inatua isaka ili watu wa hizo nchi wasiwe na haja ya kufika dar kwahio kahama sasa itakua hub na kituo kikubwa cha kibiashara lakini pia kahama ipo katikati ya kanda yenye watu wengi zaidi nchi hii kanda ya ziwa lakini pia inavuta zaidi mikoa jirani ya kigoma na katavi lakini pia kupungua kwa umaarufu kwa miji ya tabora na shinyanga imefanya kahama kuwa mji pekee wakuangaliwa kanda ya ziwa nje ya mwanza but benefit utakayoipata kahama ambayo sasa ni mji wa 7 rasmi kwa ukubwa wa nchi yetu ni kuwa uko underated sana mtu atachagua moshi au iringa over kahama bila kujua ukubwa population iliyoko kahama na sio tu population lakini pia population ya watu wenye pesa kahama kuna migodi mikubwa sana na mkoa wa shinyanga nimoja ya mikoa yenye matumizi makubwa ya umeme lakini mchango mkubwa unatoka kahama kwahio kwa vile bado watu wanaiunderate kahama kama mji uliopewa manispaa majuzi tu wafanyabiashara sio wengi bado kuna gap kwenye huduma nyingi kama hospitali, migahawa n.k tofauti na miji mikubwa kama mwanza na arusha tayari wafanyabiashara ni wengi ila kwa kahama ukienda ukafanye utafiti bro utakuja kunishukuru future ya kahama is very promising