Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Magufuli wa Kanda ya Ziwa
-JPM bridge haikukamilika
-Standi 2 hazikukamilika
-Barabara za mitaa
-BoT Building
-Mtadi wa Maji haukukamilika
-Masoko hayakukamilika
-Wodi ya Sekotoure
-Airport aliitelekeza.
-Meli hazikukamilika
-Sgr inaendelea

Vs Samia
-Anakamilisha miradi yote ya Magufuli
-Anajenga Upya Airport ya Mwanza
-Barabara za mtaa Via TACTiC
-Hospital Mpya ya Jiji
-Majengo mengi mapya ya kupamba Jiji eg TBA,Maktaba,Jengo la Mionzi
-Matawi mapya ya vyuo Vikuu eg Ardhi
-Barabara ya Nyehunge-Sengerema
-Meli mpya
-Airport -Igombe-Kayenze-Nyanguge
-Hungumalwa-Ngudu-Magu(Magari ya Musoma yatatumia Short cut hii)

Mpaka hapo nani ameleta maendelea makubwa Mwanza? Acheni Samia Aitwe mama Wa Taifa Kitombile Mikdde Istanbul

View: https://twitter.com/tanroadshq/status/1723167812179349999?t=JT6D07V3BpulL7HLsPLxpg&s=19
 
Arusha
20231026_064448.jpg
 
Je magufuli angekuwepo hai adi sasa unazani hayo yasingekamilika na kuweka miradi mingine zaidi, acha kutusemea sisi wakazi wa jiji, Samia siwezi kumbeza yupo vizuri anafanya mazuri kwa wakati wake.
 
Je magufuli angekuwepo hai adi sasa unazani hayo yasingekamilika na kuweka miradi mingine zaidi, acha kutusemea sisi wakazi wa jiji, Samia siwezi kumbeza yupo vizuri anafanya mazuri kwa wakati wake.
Kwa hela gani alizokuwanazo? Hakuna hata Kimoja kingekamiloka mungekuwa mnaona maigizo kama anavyofanya kijan wake Makonda mara apande Bajaji mara farasi na upuuzi kama huo.
 
🤣🤣🤣🤣🤣 wivu tu marehemu.
Hakuna Cha wivu saizi angekuwa anahangaika na Sgr na bwawa Kila kitu kingesimama.

Mtu aliyekuwa na ugomvi na wafanyabiashara, wawekezaji,Mataifa yaani hata hizo Tactic mngeishia kusoma kwenye maandiko maana mradi huo pesa zilicheleweshwa sababu yake.

Sipati picha na mambo ya after covidi na vita vipya uchumi ungekuwa hoi kama majirani.
 
Wafanyabiashara wengi aliyekuwa na vita nao ni wale majambazi wasiolipa kodi stahiki.
 
Hizi mambo za ndani huwa unazipata wapi wewe mfukunyuku😂😂
Wala sio mambo za ndani hiyo taarifa hapo ya TanRoads inajieleza.

Pili Waziri amesema wanamsubiria Rais awe mgeni Rasmi wanapotia saini mikataba 15 yenye thamani ya sh.1.34 Trilioni.

Baada ya kusoma hiyo taarifa ya TanRoads ndio nikajua Kwa Mwanza hizo barabara hapo Juu ndio za kipaombele.

Kwa taarifa Yako tuu Mbeya na Songwe tuna miradi 2 kwenye Hilo kapu la miradi 15.

Mwisho wa mwezi huu wa November stay tuned nitawapa updates.
 
Back
Top Bottom