Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

📌📌📌🔨

Kwa taarifa Yako tuu ni kwamba mwaka 2023 ,Mbeya inaenda kuipita Mwanza Kwa GDP.

2021
Mwanza GDP 11.1T
Mbeya GDP 8.7

2022
Mwanza GDP 12.2
Mbeya GDP 9.5

Growth rate
Mwanza 0.1T
Mbeya 0.8

If the same changes prevail this year 2023 basi mnaenda kufanya 🖕🖕🖕 na Mbeya 😁😁😁😁👇👇👇
View attachment 2908799

Mwanza imelemaaa 😆😆😆😆
Asante kwa Taarifa mkuu japo GDP huwa ni volume tu ya goods and services produces. Gdp hai reflects uhalisia wa maisha ya mtu mmoja mmoja tofauti na per capita. Mfano Tz ina GdP kubwa kuliko boswana, Namibia, Swaziland kwa pamoja ila kwa per capital tumeachwa mbali
 
Leta takwimu na chanzo cha takwimu acha ujinga, hubishani na mtoto wa chekechea hapa
Kwa unadhani Mimi naweza kuongea kitu Kwa kutunga?

Actually Arusha imezidi Mwanza parefu sana 😆😆👇👇
Screenshot_20240219-111340.jpg
 
Asante kwa Taarifa mkuu japo GDP huwa ni volume tu ya goods and services produces. Gdp hai reflects uhalisia wa maisha ya mtu mmoja mmoja tofauti na per capita. Mfano Tz ina GdP kubwa kuliko boswana, Namibia, Swaziland kwa pamoja ila kwa per capital tumeachwa mbali
Hizi hapa data za per Capita Kwa Tanzania,Vinara ni

Dar
Iringa
Kilimanjaro
Mbeya
Njombe
Ruvuma

My Take
Hakuna Cha Arusha Wala 👇👇Mwanza
Screenshot_20240219-082218.jpg
 
Akili zako zipo matakoni badala uangalie transactions, cash deposit/ withdrawal wewe unaangalia namba za agents, yaani unasifu idadi kubwa ya wakala badala ya kuangalia miamala😂😂😂
Hata hiyo miamala Arusha is ahead of Mwanza
 
Hizi hapa data za per Capita Kwa Tanzania,Vinara ni

Dar
Iringa
Kilimanjaro
Mbeya
Njombe
Ruvuma

My Take
Hakuna Cha Arusha Wala 👇👇Mwanza
View attachment 2909202
Nakubaliana na wewe kabisa bahati nzuri mikoa mingi hapa nimeishi au kufanya kazi. Huu utatifi una reflect ukweli kabisa
Arusha bado wilayani kuna umaskini na ukame mwingi. However nyanda za juu kusini hali ya hewa ni rafiki na ikifuatiwa na kaskazini kwa huo unafuu kule kanda ya ziwa wapo taabani mkiani tena
 
😄 hahahaha ngoja kitombwile aje na matusi yake jamaa wamewekeza sana kwenye urozi na uganga kuliko maendeleo
Umechanganyikiwa ndio maana anatukana hovyo,Dalili za ugonjwa wa akili wa kukata tamaa Kwa sababu ya maumivu anayopata 🤪🤪
 
Fact is Mwanza imeizidi Arusha kwa vitu vingi, hata population ya Mwanza ni kubwa kuliko ya Arusha.
Pia mwanza imeizidi arusha
1 uchawi na ushirikina (huwezi kuta kibao cha mganga kutoka Arusha/kilimanjaro)
2. Kuzaa zaa bila mpango kama panya
3. Matukio ya kikatili na udhalilishaji
4. Mvua ni nyingi mwanza kuzidi Arusha
5.mwanza watu wanakula kuliko Arusha etc
 
wanaosema Arusha kali kuizidi mwanza wanafurahisha tu midomo yao...ila ukweli wanaujua....Mwanza ni kali sana ...Arusha ikasome kwanza ndio ije kushindanishwa na jiji la mapichapicha
Hahahah fafanua mkuu
Kama mwanza mna ghorofa 2000 na Arusha wanazo elfu 7000 mko juu kwa uchawi au mnaishi kwenye zizi na ng'ombe?
 
Ukienda arusha hizo ghorofa huwa zimefichwa wap make hatuziioni
Ok kana unataka ufafanuzi uko hivi sensa ni mkoa mzima. Sio mijini tu
ARUSHA Kuna maghorofa hadi kule meru kwenye migomba sio mjini tu
Njiro na ngaramtoni kuna maghorofa. Kuanzia mjini hadi ngorongoro kando kando ya barabara utaona maghorofa tofauti na Mwanza ukitoka mjini unakutana na nyumba za nyasi na udongo. Quality ya vijiji vya mwanza na Ar sio sawa mkuu nadhan tumeelewana
 
Back
Top Bottom