Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

1. Pato la Taifa (GDP) ni kipimo cha kawaida cha ongezeko la thamani linaloundwa kupitia uzalishaji wa bidhaa na huduma katika nchi katika kipindi fulani. Kwa hivyo, pia hupima mapato yanayopatikana kutokana na uzalishaji huo, au jumla ya kiasi kinachotumika kwa bidhaa na huduma za mwisho.

2.Pato la Taifa (GDP) per capita,kwa kila mtu ni kipimo cha kiuchumi ambacho huvunja pato la uchumi wa nchi kwa kila mtu. Wanauchumi hutumia Pato la Taifa kwa kila mtu kubainisha jinsi nchi zilizostawi zinategemea ukuaji wao wa uchumi. Pato la Taifa kwa kila mtu huhesabiwa kwa kugawanya Pato la Taifa kwa idadi ya watu.

Yes GDP ni strongest parameter lakin hai reflect uchumi halisi wa mtu mmoja mmoja for that reason Mwanza ina GDP kubwa sana kuliko Njombe lakin Njombe watu wana Maisha mazuri kuliko Mwanza.
Maisha mazuri unayapima kwa per capita au development index?
 
Logic ya kawaida sehem yenye ghorofa 7000 haiwezekani ikazidiwa kwenye na kwenye ghorofa 2400 unless sensa ilikuwa uongo au maghorofa ya Ar wanalala ng'ombe na misukule. Hahahahahaha
Leta picha ya hayo maghorofa yakifika 1000 njoo nikupe demu wangu.
 
Najaribu kuonesha impact za hizo theories mbili katika uhalisia wa maisha ya mtu mmoja mmoja mkuu rejea
Tz na Namibia ipi nchi tajiri??
Na ipi ina GDP kubwa??
Kasome uchumi ndio uje, kwanini marekani ni taifa kubwa kiuchumi duniani?
 
Kasome uchumi ndio uje, kwanini marekani ni taifa kubwa kiuchumi duniani?
Marekani ina GDP kubwa lakin per capita inazidiwa na mataifa madogo hata hivyo marekani tunaiita taifa lenye nguvu kwa sababu iko mbele kwenye mambo mengi sio pesa pekee.
 
Ukizungumzia metropollitan Mwanza itakuwa na 2.7 milion.
Yaani mko 1M harafu metro yake ifike 2.7? Kutoka wapi? Buchosa Vijijini au?

Ukichukua sehemu za Misungwi na Magu ,Mwanza Metro haiwezi kuzidi 1.3Mln
Screenshot_20240220-131717.jpg
 
Najaribu kuonesha impact za hizo theories mbili katika uhalisia wa maisha ya mtu mmoja mmoja mkuu rejea
Tz na Namibia ipi nchi tajiri??
Na ipi ina GDP kubwa??
Tanzania ni Tajiri over Namibia ila individuals welfare Namibia wako vizuri.

Uwe unaelewa matumizi ya hizo parameters za Uchumi
 
Ok kana unataka ufafanuzi uko hivi sensa ni mkoa mzima. Sio mijini tu
ARUSHA Kuna maghorofa hadi kule meru kwenye migomba sio mjini tu
Njiro na ngaramtoni kuna maghorofa. Kuanzia mjini hadi ngorongoro kando kando ya barabara utaona maghorofa tofauti na Mwanza ukitoka mjini unakutana na nyumba za nyasi na udongo. Quality ya vijiji vya mwanza na Ar sio sawa mkuu nadhan tumeelewana
Hizo ghorofa ziko wapi!? Hapo kambi ya fisi, mianzini, kwa morombo, sombetini kote kumejaa nyumba za tembe
 
Hizo ghorofa ziko wapi!? Hapo kambi ya fisi, mianzini, kwa morombo, sombetini kote kumejaa nyumba za tembe
Kote ulikotaja kuna maghorofa mengi sana kuanzia maji ya chai hai Ngaramtoni. Mianziani ndan zipo nyumba za udongo ndio kuna mkoa Tz hauna nyumba za udongo?kuhusu maghorofa ni sensa inasema hiyo mkuu, kama una mashaka fanya utafiti wako.
Karibu mianzini kaa loning'o mataa ghorofani tunywe 🍺
 
Tanzania ni Tajiri over Namibia ila individuals welfare Namibia wako vizuri.

Uwe unaelewa matumizi ya hizo parameters za Uchumi
Hahahaaha kama individuals welfare tuko chini basi Tz ni maskini Sio tajiri kama kuna mtu anaishi maisha mazuri kukuzidi na anapata huduma zote muhim ndio tajiri.
Cc marekani ina uchumi mkubwa ila Qatar wana welfare nzuri zaidi ya mara2 ya wamarekani
 
Kote ulikotaja kuna maghorofa mengi sana kuanzia maji ya chai hai Ngaramtoni. Mianziani ndan zipo nyumba za udongo ndio kuna mkoa Tz hauna nyumba za udongo?kuhusu maghorofa ni sensa inasema hiyo mkuu, kama una mashaka fanya utafiti wako.
Karibu mianzini kaa loning'o mataa ghorofani tunywe 🍺
Acha kushikiwa akili na takwimu za mchongo hao wanaokupa takwimu akili zao ndio hizi👇
IMG-20240220-WA0036.jpg
 
Kwa hiyo hivyo vitongoji Kwa pamoja ndio vinaweza zidi watu 300k? Unawajua watu 300k.lakini? Hiyo ni Manispaa nzima
Uliangalia sensa vizuri ya kata, kisesa inawatu 140000 peke yake bado unyamani kule usagara na nyashishi mkuu punguza ushabiki wa vitumbua.
 
Back
Top Bottom