ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Mwanza haijengwi na Serikali 😂😂
View: https://www.instagram.com/reel/C315lU_vS5N/?igsh=MWJmN2YzZXJhZ2QxYQ==
View: https://www.instagram.com/reel/C315lU_vS5N/?igsh=MWJmN2YzZXJhZ2QxYQ==
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanza haijengwi na Serikali 😂😂
View: https://www.instagram.com/reel/C315lU_vS5N/?igsh=MWJmN2YzZXJhZ2QxYQ==
Dar inatuibia Rasilimali zetu sisi wa Mikoani.Serikali wanazingua sana, hivi vimradi vidogo mno ukilinganisha na projects wanazofanya Dsm na Dodoma,, now Dsm pekee ina project ya ujenzi wa barabara 350km,kupitia mradi wao wa DMDP, je hapo mbeya mna project gani ya maana mpaka sasa?
Mwanza haipoi hata kidogo,
On going projecte mwanza🔥🔥🔥
Regional library, underconstruction
Mwanza ni sehemu ya kuzoa kura tu, jiji halina dual carriage hii inauma sana, miradi mizuri ni Dar na DodomaDar inatuibia Rasilimali zetu sisi wa Mikoani.
Kwa Mbeya tuna mradi mkubwa 1 wa Barabara njia 4 mjini.
Njia 4 zingine za Igawa-Tunduma zimesalia kuwa stori za mdomoni
Tumiradi twa Tactic na Stand ndio kwanza hata bil.55 hatufiki , nothing else.
Ila Mwanza Kuna miradi Mingi tuu na mwakani ndio watawapendelea zaidi Ili muwape kura.
Hii wangepiga 5f alafu wakaweka li mnara la kuoneka kama la mita 20 hivi ingekuwa unyama otherwise hillo jengo ni ujinga tu.
Kitu gani hiyo?Mkuu hii kitu imeshaanza ujenzi au ndio stor zao tulizozizoea.
Wewe hujawahi kufika Arusha halafu unatoa comments.Hizo ghorofa ziko wapi!? Hapo kambi ya fisi, mianzini, kwa morombo, sombetini kote kumejaa nyumba za tembe
Mkuu hii kitu imeshaanza ujenzi au ndio stor zao tulizozizoea.
Wewe utakuwa huijui arusha nimekaa arusha zaidi ya miaka mitatu hapo Washington ndio ilikuwa sehemu yakupata supu na msos nikitoka billys we pimbi.Wewe hujawahi kufika Arusha halafu unatoa comments.