Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Serikali wanazingua sana, hivi vimradi vidogo mno ukilinganisha na projects wanazofanya Dsm na Dodoma,, now Dsm pekee ina project ya ujenzi wa barabara 350km,kupitia mradi wao wa DMDP, je hapo mbeya mna project gani ya maana mpaka sasa?
Dar inatuibia Rasilimali zetu sisi wa Mikoani.

Kwa Mbeya tuna mradi mkubwa 1 wa Barabara njia 4 mjini.

Njia 4 zingine za Igawa-Tunduma zimesalia kuwa stori za mdomoni

Tumiradi twa Tactic na Stand ndio kwanza hata bil.55 hatufiki , nothing else.

Ila Mwanza Kuna miradi Mingi tuu na mwakani ndio watawapendelea zaidi Ili muwape kura.
 
IMG-20240222-WA0009.jpg
 
Chukua kisesa, bujashi na bujora hapo hizo zote ni kama sehemu moja
 
Dar inatuibia Rasilimali zetu sisi wa Mikoani.

Kwa Mbeya tuna mradi mkubwa 1 wa Barabara njia 4 mjini.

Njia 4 zingine za Igawa-Tunduma zimesalia kuwa stori za mdomoni

Tumiradi twa Tactic na Stand ndio kwanza hata bil.55 hatufiki , nothing else.

Ila Mwanza Kuna miradi Mingi tuu na mwakani ndio watawapendelea zaidi Ili muwape kura.
Mwanza ni sehemu ya kuzoa kura tu, jiji halina dual carriage hii inauma sana, miradi mizuri ni Dar na Dodoma
 
Wewe hujawahi kufika Arusha halafu unatoa comments.
Wewe utakuwa huijui arusha nimekaa arusha zaidi ya miaka mitatu hapo Washington ndio ilikuwa sehemu yakupata supu na msos nikitoka billys we pimbi.
Hiyo sakina ya white rose nimekaa, barabara mpya pale kibo kama unaenda morombo nimekaa mianzini karubu na soko nimekaa, njiro karibu na uhasibu nimekaa hiyo mitaa yenue afadhali ni njiro
 
Back
Top Bottom