Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Hatutaki hadithi, sisi wakandarasi wapo site kuwafunga midomo wala weed wa arusha👇👇
View attachment 2945784
Nakataa kabisa nyie mkumbuke mna igawa dual carriage ya 26km, wakati jiji la Mwanza halina hata kabarabara ka 1km ka dual carriage.
We nyumbu achaga ubishi wa kitoto.

Mwanza na Tanga ni Kati ya Majiji yanayopendelewa na Serikali, tofauti yenu na Dar,Dom na Arusha ni kiwango ch kupendelewa tuu.

View: https://www.instagram.com/p/C5A1eftNXmP/?igsh=MTlqdzh0d3F5azl6NQ==

My Take: Mbeya peke yake ndio imetengwa.
 
Hii kali 😀
Sasa kuna hii inakuja ndio balaa
Malalamiko fc mtalala barabarani
Hii inayojengwa ya kigali ikasome
Jamani muwe mnaweka picha vizuri basi kama hivi 👇
Screenshot_20240327-190114.jpg

My Take: Mwanza itasalia kama Gulio la kuuzia Ng'ombe na punda 😆😆😆
 
We nyumbu achaga ubishi wa kitoto.

Mwanza na Tanga ni Kati ya Majiji yanayopendelewa na Serikali, tofauti yenu na Dar,Dom na Arusha ni kiwango ch kupendelewa tuu.

View: https://www.instagram.com/p/C5A1eftNXmP/?igsh=MTlqdzh0d3F5azl6NQ==

My Take: Mbeya peke yake ndio imetengwa.

Tanga jiji haimo kwenye miji itakayo kuwa na miradi ya ukarabati wa barabara na ujenzi wa madaraja kulingana na waziri bashungwa kwenye bajeti ya mwaka ujao wa fedha yaani 2024/2025 Morogoro imo lakini Tanga haimo leo unasema Tanga inapendelewa kuliko Mbeya😁😁
 
Shida hawa jamaa wa mwanza hawatakagi kuskia maendeleo mikoa mingine wanatamani kila kitu kiwe kwao tu 😀 Shenzi sana hawa jamaa
Mdazi maendeleo ni popote pale sisi hatuna shida kabisa, shida inaanza pale Mwanza inapochukuliwa kama vijiji vya kibiti au mpwayungu.
 
Wana arusha badala mjengo stendi naona mnaweka hostel zenye parkinh ya magari, punguzeni mihemko, ni bora mngeenda mwenge au stand ya msamvu kujifunza, naona mnaongeza maghorofa yenye taswira ya kibera, nawashauri mtafute render nyingine mtakuja kabla hamjahaibika.

Kwenye ujenzi wa uwanja hakika mmepikga mwingi lakini baada ya mashindank kuisha naona kama uwanja wenu utabaki kama uwanja wa kuanikia mahindi, hakuna mwamkonwa mchezo wa miguu huko chuga.
 
📌📌📌🔨

View: https://youtu.be/ggBtD3fMWrg?si=3usUxLxxyIi3FQ37
 
Miradi ya Mwanza ni ya kuboost uchumi na kufungua kanda ya ziwa, daraja la jpm, meli ya MV Mwanza hapa kazi tu, SGR, via duct, masoko na stendi huo wote ni mnyororo wa kuinua uchumi, nyie arusha endeleeni kujengewa viwanja na maukumbi ya maonesho😜😜😜😜😜😜😜
Kwani miradi ya Arusha ni ya kufanya nini?

Tayari hapo Olmoton imekuwa prime area,patapimwa na kuwekewa miundombinu mizuri mfano Barabara,maji,recreational parks,maduka makubwa ,kumbi za burudani nk

Mpaka hapo ita boost Maendyna kuchochea uchumi.

Mwanza mumeshachelewa sana.Hayo ma Sgr hayana maana yeyote Bora na Daraja na uwanja wa ndege.
 
Tutaona na arusha iliyowahi, coz Mwanza umesema imechelewa je uchumi wa Arusha unasoma GDP ya ngapi mpaka sasa na Mwanza ana ngapi? Kuleni hayo maukimbi na maviwanja kama yatawatoa kwenye uchumi wenu hafifu.
 
Back
Top Bottom