ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Hatutaki hadithi, sisi wakandarasi wapo site kuwafunga midomo wala weed wa arusha👇👇
View attachment 2945784
We nyumbu achaga ubishi wa kitoto.Nakataa kabisa nyie mkumbuke mna igawa dual carriage ya 26km, wakati jiji la Mwanza halina hata kabarabara ka 1km ka dual carriage.
Mwanza na Tanga ni Kati ya Majiji yanayopendelewa na Serikali, tofauti yenu na Dar,Dom na Arusha ni kiwango ch kupendelewa tuu.
View: https://www.instagram.com/p/C5A1eftNXmP/?igsh=MTlqdzh0d3F5azl6NQ==
My Take: Mbeya peke yake ndio imetengwa.