πππ
View: https://www.instagram.com/reel/C7hY7CKNi95/?igsh=eDlieDZyYWVsemp6
My Take: Je huyo Mama amewahi Kosa bidhaa au Huduma yeyote Mbeya Kwa sababu haoni mjini ni wapi? Ogopa matapeli
Maoni yangu
Mbeya imeharibiwa sio kwamba ni mji mbaya
Watu wanafanya biashara penye mzunguko
Bado mbeya ina sifa nyingi za kuwa jiji la kisasa, kuwa na watu 500,000+ kwenye eneo la kmsq 200 tu inaonyesha ni mji uliochamgamka sana
Bahati mbaya planners wameruhusu vijumba vya uswahilini na mijengo ya siyo na mpangilio kwenye hili tunaloliita green city
Barabara ya tanzam kuanzia uyole, nane nane, soweto, sai hadi mafiat kuna mzunguko mkubwa sana muingiliano wa watu, biashara na majengo mengi sana ambayo kama yangekua sehem moja ingeleta taswira nzuri tu
Hata Morogoro baada ya stendi kuhamia msamvu mji sasa unakua kuelekea kihonda kule kwa zamani kumesahaulika tofauti ma miji kama mwanza au arusha
Ukitoka shinyanga kwenda musoma gari litapita usagara buhongwa nyegezi mpaka nata mjini alafu ndio liende mabatini, igoma kisesa magu hadi musoma licha ya kuwa kuna bypass ya usagara kisesa same kwa arusha na dodoma
Ila kwa mbeya njia ya mjini imesahaulika watu waende kufanyaje sasa
So kwa ushauri wafanye tu wabomoe majengo kabwe pale na mwanjelwa waweke sheria majengo yawe ya kisasa pawe ndio mji mpya sasa kwa sababu hata sehemu za starehe kama mbeya pazuri, city pub, nasoma n.k zote ziko njia hiyo tu mjini hakuna kitu.
Na mbeya haitakua ya kwanza kuhamisha mji miji mingi tu ina maeneo ya mji mpya na zaman