Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Sio kosa lako, watu wa mwanza mpo slow slow tu. Yani ata kuuliza umeshindwa? Google basi? Nyie sio ata jiji.
Watu wapo slow na wana jiji la mfano, Mwanza sio jiji kivipi? Hivi unavyoandika unajitambua kweli au nabishana na mtoto wa nursery
 
Watu wapo slow na wana jiji la mfano, Mwanza sio jiji kivipi? Hivi unavyoandika unajitambua kweli au nabishana na mtoto wa nursery
Jiji la mfano gani? Hakuna corporate company ina muda na Mwanza acha kuota, ipi yani kwa mfano? Mwanza ni likijiji likubwa tu, mtu akisema katoka Mwanza Arusha wanakudharau chap😂
 
Alikuja Jamaa Angu kutoka Arusha kunitembelea alivyofika Mwanza alishangaa sana kuona Musabe ni Shule, Eti dah kwetu Arusha kingekua chuo hicho
 
Mwanza Haijawahi kuwa Slum sema wewe ukija unafikia kwenye Slum basi unajua maeneo yote ni Slum na kila Jiji, Manispaa, Mji, Wilaya zina sehemu zenye Slum
Screenshot_20240523-185538_Google%20Earth.jpg
Screenshot_20240523-185928_Google%20Earth.jpg
 
Alikuja Jamaa Angu kutoka Arusha kunitembelea alivyofika Mwanza alishangaa sana kuona Musabe ni Shule, Eti dah kwetu Arusha kingekua chuo hicho
Alikua anakujaza tu huyo anawajua jamaa mnapendaga kusifiwa😂
Arusha kuna vyuo vya kimataifa
1. MS TCDC
2.NELSON MANDELA
3.ESAMI
4.TMA
Bado kuna vyuo local vya kutosha
5. Institute of Accountancy Arusha
6.ATC
7.Tumaini Makumira Hq
8.Mount Meru University
9. Jomo Kenyatta Arusha campus
10. Mzumbe Arusha Campus
*Kuna Chuo cha madini kinajengwa cha nchi nzima na bajeti imeshatengwa
*Aghakhan tayari wana eneo la kujenga chuo kikubwa East Africa
*Kuna vyuo local tukitaja 100 vinafika
*Tembea braza usijifungie ziwani huko😃
Arusha ni headquarters za EAC
Bado hizo shule ulizosema Arusha kuna shule International zaidi ya 10 ukitaka tukuletee list
Nje ya Dar hamna sehem utapata shule zenye hadhi kama Arusha
Ila jamaa alijua kukujaza sana😂😂
 
Alikua anakujaza tu huyo anawajua jamaa mnapendaga kusifiwa[emoji23]
Arusha kuna vyuo vya kimataifa
1. MS TCDC
2.NELSON MANDELA
3.ESAMI
4.TMA
Bado kuna vyuo local vya kutosha
5. Institute of Accountancy Arusha
6.ATC
7.Tumaini Makumira Hq
8.Mount Meru University
9. Jomo Kenyatta Arusha campus
10. Mzumbe Arusha Campus
*Kuna Chuo cha madini kinajengwa cha nchi nzima na bajeti imeshatengwa
*Aghakhan tayari wana eneo la kujenga chuo kikubwa East Africa
*Kuna vyuo local tukitaja 100 vinafika
*Tembea braza usijifungie ziwani huko[emoji2]
Arusha ni headquarters za EAC
Bado hizo shule ulizosema Arusha kuna shule International zaidi ya 10 ukitaka tukuletee list
Nje ya Dar hamna sehem utapata shule zenye hadhi kama Arusha
Ila jamaa alijua kukujaza sana[emoji23][emoji23]
Hujanielewa bwana Mdazi namaanisha alishangaa majengo yale kuwa ni ya shule akitegemea ingekuwa ni Chuo kikubwa
 
Kwakweli hapa kwenye Vyuo sijawahi kuielewa serikali tunakosaje chuo kikuu cha kiserikali ukanda wote wa ziwa ,Maana huduma hufuata pence Mahitaji yani Mwanza Population ya 3.6 Million, Shinyanga 3. Something, Geita, Mara , Kagera mpaka Tabora huko hakuna chuo kikuu cha serikali zaidi ya Matawi ila tunawachapa hivyo hivyo
1/ SAUT
2/CUHAS
3/MWANZA UNIVERSITY
4/TIA MWANZA CAMPUS
5/DIT MWANZA CAMPUS
6/MIPANGO MWANZA CAMPUS
7/CBE
8/ Chuo cha Kilimo Ukiriguru
9/ Pansiasi Wildlife College
10/Chuo cha Fisheries
N.K
Bado kuna College ndongo ndongo nyingi
tu hususani za Nursing na Mining
 
Wale wa National, Gedeli, Loleto, Buswelu mnakubalije kuitwa Slum wanangu wa Mwanza na sijagusa City center nipo tu naperuzi pembezoni mwa mji huku
Screenshot_20240523-222033_Google%20Earth.jpg
Screenshot_20240523-220834_Google%20Earth.jpg
Screenshot_20240523-222742_Google%20Earth.jpg
 
Kwakweli hapa kwenye Vyuo sijawahi kuielewa serikali tunakosaje chuo kikuu cha kiserikali ukanda wote wa ziwa ,Maana huduma hufuata pence Mahitaji yani Mwanza Population ya 3.6 Million, Shinyanga 3. Something, Geita, Mara , Kagera mpaka Tabora huko hakuna chuo kikuu cha serikali zaidi ya Matawi ila tunawachapa hivyo hivyo
1/ SAUT
2/CUHAS
3/MWANZA UNIVERSITY
4/TIA MWANZA CAMPUS
5/DIT MWANZA CAMPUS
6/MIPANGO MWANZA CAMPUS
7/CBE
8/ Chuo cha Kilimo Ukiriguru
9/ Pansiasi Wildlife College
10/Chuo cha Fisheries
N.K
Bado kuna College ndongo ndongo nyingi
tu hususani za Nursing na Mining
CUHAS na Mwanza University vinapatikama Mwanza ya wapi? Bujora au? 😁😁

Miji ya hovyo hovyo haiwezi pata Vyuo Vikuu vya maana
 
Kuwa na aibu basi yaani hayo ma high density plots ambayo hayako kwenye proper arrangements kwako ndio unaona ni Mpango Mji?
Ninavyojua mimi Slum ni sehemu yenye mlundikano wa nyumba duni bila mpangilio kiasi kwamba huduma za kijamii na miundombinu hazifikiki ama zinafikika kwa shida, Hakuna pahala dunian Viwanja vya High Density vikakosa na sehemu yeyote iliyopangwa kunakuwa na High Density nyingi, Medium Density kiasi na Low Density Chache nenda ka Google kaka utanipa majibu, High Density sio Slum hata siku moja
 
Ndio kama zilibyirundikana Mwanza yote.

Arusha sweet City 👇👇

View: https://youtu.be/ZNjJLhPzjAY?feature=shared
 
Back
Top Bottom