Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Screenshot_20240521-181052_1.jpg

Screenshot_20240521-181158.png

Njoo ubishe
ChoiceVariable
 
Ukubwa wenye uhovyo na umaskini ndani yake unatusaidia nini?

Uzuri upi ambao Mwanza inao kushinda Arusha? Barabara zipi hizo? Mimi Mwanza na Arusha kote nafahamu siambiwi.
Wivu utakuua, mitaa ya ovyo ya Mwanza ni ile ya miliman kama kule mabatini na igogo au sahara kwa juu, mitaa yote iliyotambarare imepangwa na imepitiwa kwa barabara za lami, hata huko juu kuna mitandao ya barabara za mawe na sewage system nzuri sana ambayo ilipelekea wakenya kuja kujifunza, Arusha jiji haiwez kuizidi Mwanza jiji kwa mtandao wa barabara za lami, au kwa vile tunalilia sana barabara mkajua kweli hakuna barabara, Ilemela peke ake inatosha kubattle na Arusha kwenye upande wa barabara za lami zenye viwango, me sina mengi lakini cha kuongeza Ilemela peke yake inapiga chini Arusha kwenye poshy neighbourhood.
 
Taja barabara za arusha na urefu wake nikutajie za jiji la Mwanza, arusha nimeishi miaka miwili huko hakuna kitu ambacho wataishinda Mwanza labda sector ya utalii tu.
 
Wivu utakuua, mitaa ya ovyo ya Mwanza ni ile ya miliman kama kule mabatini na igogo au sahara kwa juu, mitaa yote iliyotambarare imepangwa na imepitiwa kwa barabara za lami, hata huko juu kuna mitandao ya barabara za mawe na sewage system nzuri sana ambayo ilipelekea wakenya kuja kujifunza, Arusha jiji haiwez kuizidi Mwanza jiji kwa mtandao wa barabara za lami, au kwa vile tunalilia sana barabara mkajua kweli hakuna barabara, Ilemela peke ake inatosha kubattle na Arusha kwenye upande wa barabara za lami zenye viwango, me sina mengi lakini cha kuongeza Ilemela peke yake inapiga chini Arusha kwenye poshy neighbourhood.
Mwanza yote ni hovyo na slums Kila sehemu hata huko Capripoint ni hovyo tuu na Kuna Nuka shombo ya Samaki Mji mzima.

Nilienda kule mnajenga DIT Kuna Nuka hatari Sasa sijui wale wanafunzi wataishije pale 😁😁
 
Unaongolea Capripoint kama unaongelea matundu ya vyoo, huko kunashindana na Masaki na Oysterbay tu kwa nchi hii ya Tanzania.
 
UNAPOTEZA HELA NYINGI BILA KUJUA!!!

Vifurushi unavyojiunga gb kila siku vinakupetezea hela nyingi sana sema unaweza tu usijue, mfano kama unatumia gb 1 tu kwa siku it means kwa mwezi unatumia zaidi ya 60000 kwaajili ya gb 30 tu. Sasa nakupa chimbo uokoe pesa na upate gb nyingi Sana

JIUNGE NA VIFURUSHI HIVI VYA TIGO POSTPAID

SH.25000/= unapewa GB 30(kwa mwez,kila mwez)
SH.30000/= unapewa GB 35(kwa mwez,kila mwez)

SH. 40000 UNAPEWA GB. 48(kwa mwez,kila mwez)

LAKI MOJA UNAPEWA UNLIMITED BUNDLE(kwa mwez,kila mwez) PAMOJA NA ROUTER BURE

HUDUMA NI ZA UHAKIKA NA UNALIPA MOJA KWA MOJA TIGO HUMTUMII MTU YOYTE HATA 100
(mm nakufanyia usajili nalipwa commission na tigo)

KARIBU SANA HATA UNIULIZE NIKUPE MAELEKEZO VIZURI ZAIDI

0717700921
Utakuwa umekosea
 
Mwanza yote ni hovyo na slums Kila sehemu hata huko Capripoint ni hovyo tuu na Kuna Nuka shombo ya Samaki Mji mzima.

Nilienda kule mnajenga DIT Kuna Nuka hatari Sasa sijui wale wanafunzi wataishije pale 😁😁
Ukiombwa picha za slum kila mara unaleta ile picha yako ya Igogo, huna sera huna hoja, kila mji mkubwa haukosi kuwa na sehemu za watu maskini hata kule Jo' berg kuna slum za kufa mtu.
 
Mwanza yote ni uswazi usituchoshe bana Kila mtu anajua hili.
 
Mwanza hii yenye miradi mikubwa ya kimkakati ya kuinua uchumi ije kushindanishwa na vimji vinavyotegemea ngedere kama soko lao la kuongeza kipato

Mwanza yenye SGR,
Mwanza yenye meli kubwa za mizigo na abiria,
Mwanza yenye daraja kubwa la JPM Africa mashariki na kati,
Mwanza iliyopakana na majiji makubwa ya Africa,
Mwanza yenye ziwa victoria,
Mwanza yenye mgodi mkubwa wa Nyanzaga,
Mwanza yenye viwanda,
Mwanza yenye utalii wa kitabibu,
Kuna mambo mengi nachoka kuandika😝
 
Ukiombwa picha za slum kila mara unaleta ile picha yako ya Igogo, huna sera huna hoja, kila mji mkubwa haukosi kuwa na sehemu za watu maskini hata kule Jo' berg kuna slum za kufa mtu.
Nimeambiwa stand ya buzuruga imehamishiwa nyamhongoro Tena imejegwa kisasa na inavutia mno.. Arusha mpaka muda huu hawana stand za maanaa
 
Back
Top Bottom