Kwakweli hapa kwenye Vyuo sijawahi kuielewa serikali tunakosaje chuo kikuu cha kiserikali ukanda wote wa ziwa ,Maana huduma hufuata pence Mahitaji yani Mwanza Population ya 3.6 Million, Shinyanga 3. Something, Geita, Mara , Kagera mpaka Tabora huko hakuna chuo kikuu cha serikali zaidi ya Matawi ila tunawachapa hivyo hivyo
1/ SAUT
2/CUHAS
3/MWANZA UNIVERSITY
4/TIA MWANZA CAMPUS
5/DIT MWANZA CAMPUS
6/MIPANGO MWANZA CAMPUS
7/CBE
8/ Chuo cha Kilimo Ukiriguru
9/ Pansiasi Wildlife College
10/Chuo cha Fisheries
N.K
Bado kuna College ndongo ndongo nyingi
tu hususani za Nursing na Mining