Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Mwanza yangu nakupenda sana twende Kwa vitendo
FB_IMG_1726489687380.jpg
FB_IMG_1726489673857.jpg
FB_IMG_1726489654202.jpg
 
Nimekaa hapa nikikuzoom huku nakucheka tu😂😂😂😂😂😂, Mwanza inapaa ndugu sina maneno mengi siku hizi naona sio fair kuipambanisha Mwanza na miji calibre ya arusha, kwasasa tunataka battle na miji kama Kampalana Mombasa tukitoka hapo tucheze mechi ya kirafiki na wakina Dar na Kigali.
Mwambie huyo jamaa mwanza ni Jiji aisee kabla sijatoka mwanza nilipita siku Moja Barabara ya airport mida ya jioni eneo la Ghana karibu na junction ya bwiru aiseeeee mwanza sio level za Arusha au Dodoma 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Mwanza inapaa sawa ila kulinganisha na nani Sasa 😁😁😁😁

Inapaa kuzidi Arusha? 👇👇

View: https://x.com/ChineseEmbTZ/status/1836664818566091109?t=4e2p2GwGUqC9m-oovKvubw&s=19
 
Back
Top Bottom