Subiria hizo gorofa zifike floor saba na zaidi nikuletee hapa uanze kutoa macho!Cha maana hapo ni daraja tuu
Kwa hiyo hicho project yako ina kitu gani cha tofauti!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiria hizo gorofa zifike floor saba na zaidi nikuletee hapa uanze kutoa macho!Cha maana hapo ni daraja tuu
Arusha Kuna Kasi kubwa ya ujenzi wa magorofa kushinda Mwanza,sio tuu magorofa Bali magorofa marefu.Subiria hizo gorofa zifike floor saba na zaidi nikuletee hapa uanze kutoa macho!
Kwa hiyo hicho project yako ina kitu gani cha tofauti!
Lete picha tuone! Wewe unaendeshwa na mihemko sana hakuna kitu Mwanza itafanya utasema hapa wanafanya vizuri!Arusha Kuna Kasi kubwa ya ujenzi wa magorofa kushinda Mwanza,sio tuu magorofa Bali magorofa marefu.
Acha kubwabwaja lete picha mpyaArusha Kuna Kasi kubwa ya ujenzi wa magorofa kushinda Mwanza,sio tuu magorofa Bali magorofa marefu.
Mwanza 👇 👇 👇 👇 👇 👇Arusha Kuna Kasi kubwa ya ujenzi wa magorofa kushinda Mwanza,sio tuu magorofa Bali magorofa marefu.
Arusha Kuna Kasi kubwa ya ujenzi wa magorofa kushinda Mwanza,sio tuu magorofa Bali magorofa marefu.
Kuna jipya gani hapo? Majengo ya siku zote ya serikali unapiga picha angle tofauti tofauti 😂😂
Jengo la serikali hapo moja tu la nssf hayo mengine serikali ya nchi gani afisa majengo Tanzania 😄 🤣 😂Kuna jipya gani hapo? Majengo ya siku zote ya serikali unapiga picha angle tofauti tofauti 😂😂
Mwanza Mtakula sana vumbi,Arusha wamesahau 👇👇
View: https://x.com/Jambotv_/status/1836630038164443223?t=ttchrrUw8W6ANL1TybN0Gw&s=19
Wacha kujishaua,hakuna Barabara za maana zinazotengwnezwaMwanza hakuna ushamba wa kupost kila kinachotangazwa kama ni barabara kibao zinatengenezwa
Hahahaha tembea brotherWacha kujishaua,hakuna Barabara za maana zinazotengwnezwa
Mwanza hiyooo inazidi kukaliwa kooni na Arusha 👇👇Hahahaha tembea brother
Unachekesha mwanza IPi hiyo tembea uone mengi mwanza ni Jiji bana 😂 🤣 🤣Mwanza hakuna ushamba wa kupost kila kinachotangazwa kama ni barabara kibao zinatengenezwa
Jiji fake halina hata uwanja wenye hadhi 😂😂Unachekesha mwanza IPi hiyo tembea uone mengi mwanza ni Jiji bana 😂 🤣 🤣
Huwa nakukubali sana unaipenda Arusha lakini wakati wa ukweli huwa huendeshwi na mihemko🙏Tunashkuru kuliko kilichokuwepo ilikua ni aibu
Jiji fake halina hata uwanja wenye hadhi 😂😂
Chuga 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DAJOeJgtqZt/?igsh=OW5udGVkamp3cWVx
Mwambie huyo jamaa mwanza ni Jiji aisee kabla sijatoka mwanza nilipita siku Moja Barabara ya airport mida ya jioni eneo la Ghana karibu na junction ya bwiru aiseeeee mwanza sio level za Arusha au Dodoma 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Nimekaa hapa nikikuzoom huku nakucheka tu😂😂😂😂😂😂, Mwanza inapaa ndugu sina maneno mengi siku hizi naona sio fair kuipambanisha Mwanza na miji calibre ya arusha, kwasasa tunataka battle na miji kama Kampalana Mombasa tukitoka hapo tucheze mechi ya kirafiki na wakina Dar na Kigali.
Mwambie huyo jamaa mwanza ni Jiji aisee kabla sijatoka mwanza nilipita siku Moja Barabara ya airport mida ya jioni eneo la Ghana karibu na junction ya bwiru aiseeeee mwanza sio level za Arusha au Dodoma 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Mwanza inapaa sawa ila kulinganisha na nani Sasa 😁😁😁😁Nimekaa hapa nikikuzoom huku nakucheka tu😂😂😂😂😂😂, Mwanza inapaa ndugu sina maneno mengi siku hizi naona sio fair kuipambanisha Mwanza na miji calibre ya arusha, kwasasa tunataka battle na miji kama Kampalana Mombasa tukitoka hapo tucheze mechi ya kirafiki na wakina Dar na Kigali.