Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Unaleta masimulizi badala ya facts 😂😂

Mapato ya Nchi Arusha namba 2 baada ya Dar,Mwanza imezidiwa Hadi na Tanga

Utalii wa Tanzania inaongoza na Arusha na Zanzibar,Mwanza haipo popote licha ya kujifariji na kusema eti uko karibu na hifadhini,ujinga.

Arusha ni namba 4 Kwa viwanda vingi Tanzania baada ya Pwani,Dar,Tanga.Mwanza haipo hata top 5 inazidiwa na Shinyanga.

Arusha Ina matajiri wengi wa.sekta za Utalii ,ndio maana inaongoza Kwa magorofa Tanzania nzima second to Dar.

Mwanza mungekuwa na matajiri tungeona Makazi ya magorofa mengi Sasa mnazidiwa na Arusha,Tanga, Kilimanjaro

Arusha Ina Airports yake achilia mbali KIA ambayo licha ya kuwa Kilimanjaro ila Ina serve Arusha Kwa 90% ,Mwanza hakuna kitu huko.

Giografia ya Arusha ndio inailazimisha Serikali na wengineo waje hapo na ipo katikati ya majijo Makuu ya biashara EAC.

Mwisho kitu pekee mnazidi Arusha ni Wingi wa maskini na samaki tuu .
Arusha inachoizidi mwanza labda malaya tu
 
Miundo mbinu stand kama jalala masoko machafu huko kwa mlomboo aibu tupu
Miundombinu ni zaidi ya stendi,Kuna Barabara saaafi kabisa na majengo pia 👇👇
Screenshot_20250112-084722.jpg
 
Wewe akili yako ufikiri Tanzania inategemea mikutano tu?😂😂😂kwa taarifa Mwanza imekuwa jiji la pili Tanzania hayo maukumbi ya mikutano yakiwepo huko Arusha na Dar.
Mkuu ukubwa wa mwanza ni in terms of population ndo 2nd ila Kwa mji unaokuwa Kwa Kasi, Arusha ipo ahead of mwanza in distance cheki tu mfano sensa ya 2022 miji inayoongoza Kwa majengo ya magorofa Arusha ni 2nd after DSM
 
Back
Top Bottom