Battle: Pacome Zouzoua vs Aziz Ki nani ni engine ya Yanga?

Battle: Pacome Zouzoua vs Aziz Ki nani ni engine ya Yanga?

Yanga inakosea sana kucheza ligi kuu ya Tanzania
Uzuri wa Yanga ina wachezaji wa kila aina ya mashindano, kuna wachezaji wa CAF, kuna wachezaji wa NBC Premier league, kuna wa chezaji wa Azam Sports Federation Cup, kuna wachezaji wa friendly matches pia.
 
Back
Top Bottom