Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Sasa je! We niambie huwezi jua naweza sahau ukaishia kunidunda
[emoji849][emoji849][emoji849]Hivi wewe Dar umeenda lini? Mbagala hakuna mwendokasi[emoji23][emoji23]
Acha uongo..mbagala na mwendo kasi tangu lini?
[emoji3][emoji3][emoji3]Aaaah bhana huko sasa unataka nipigwe. Mimi nazungumza na wewe.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mzee wa mtetemo una utani na wenye matumbo kama Rick Ross unawasema kijanja ujue
wenye matumbo yao mm umeniingiza tu kama chambo
Kuhama nilipokua? Hapana jiraniJirani kwani umehama? Si nitakushinda vita wewe kuwa na amani.
Muone kwanzaAh ah ah ah ah
Hahahahahahahahaha mwehuuuu wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dar kila siku nipo..mbagala hakuna mwendokasi bana[emoji849][emoji849][emoji849]Hivi wewe Dar umeenda lini? Mbagala hakuna mwendokasi
Kwangu, ila kwanini ucheke? Huoni kama unamfanyia unafiki Shunie.Neno limetoka kwangu au kwako?
Baba angu Mshana anakusalimiaMuone kwanza
Sawa bwanaHahaha ebu uko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3]Aaaah bhana huko sasa unataka nipigwe. Mimi nazungumza na wewe.
Sijawahi kuona tumbo la mtu humu.
Kukumbatiwa tu na babe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji85][emoji85][emoji85] Ili nikwambie naumwa isiwe kama jana
Siku hizi kawa babako kumbe?!Baba angu Mshana anakusalimia
Kwangu, ila kwanini ucheke? Huoni kama unamfanyia unafiki Shunie.
Jamani kwani kucheka dhambi jirani?
Hata sijamfanyia unafki nimejikuta tu nacheka
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwan alikuwagan na hapo zaman??Siku hizi kawa babako kumbe?!
Msalimie pia, mwambie bado nampenda kama zamani
Hilo tumbo kama tufe unataka lipasukie mikononi mwa mtu wako apate kesi ya mauaji?