Battle: Shunie Vs Mzigua90

Battle: Shunie Vs Mzigua90

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mzee wa mtetemo una utani na wenye matumbo kama Rick Ross unawasema kijanja ujue
wenye matumbo yao mm umeniingiza tu kama chambo
[emoji3][emoji3][emoji3]Aaaah bhana huko sasa unataka nipigwe. Mimi nazungumza na wewe.

Sijawahi kuona tumbo la mtu humu.
 
Yaaan una akiliiii sana ...ila si utaendelea kuumwa mpkaa ndan ya siku 6
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji85][emoji85][emoji85] Ili nikwambie naumwa isiwe kama jana
 
Back
Top Bottom