Battle: Tanzania 🇹🇿 ( Bongo) Vs Kenya ( Elite of Africa)

Battle: Tanzania 🇹🇿 ( Bongo) Vs Kenya ( Elite of Africa)

trojan92

Member
Joined
May 18, 2024
Posts
91
Reaction score
276
Hii ni list kuonyesha namna Tanzania iko mbali sana tuu

Hii hapa list namba 7 na 8 zitakushangaza

1. TZ tuna Iconic figure wa Africa Nyerere🇹🇿
2. Best and longest SGR in Africa ipo Tz 🇹🇿

3. Lugha ya Kiswahili ni ya Tz 🇹🇿 na inazungumzwa Africa na dunia kote

4. Mlima mrefu kuliko yote Africa Kilimanjaro the Peak of Afrika ipo Tz 🇹🇿

5. Tanzania ndio nchi yenye watu wakarimu mno kuliko majirani

6. Tanzania kuna n best artist kama Diamond, Zuchu sukuari ya majirani, Harmonize, Alikiba, Mboso nk

7. Msisahau Tz 🇹🇿 hatulock down wakati wa covid na life ilisongo

8. Watoto wazuri bwana wako bongo tz 🇹🇿. Wadada wazuri balaa majirani kazi kumezea mate tu

8. Best beach ipo Tz 🇹🇿 nenda. Dar es Salaam coco beach na huko Zanzibar ni kuzuri ajabu

9. Tz 🇹🇿 tuna mbuga nzuri mno kama Serengeti, Arusha, Manyara, Ruaha nk

10. Mengine mengiiii mnayajua majirani

Leteni ya kwenu majirani tuone mkishinda hii battle

Tz 3 __majirani 00
 
kenya lockdown iliwashinda watu walikula virungu,unamzuia mtu na ndani hana unga!.

bye the way kenya wadada wazuri wapo English figure zimetamalaki kama wanyarwanda fulani hivi...
 
Back
Top Bottom