Battle: Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ( Bongo) Vs Kenya ( Elite of Africa)

trojan92

Member
Joined
May 18, 2024
Posts
91
Reaction score
276
Hii ni list kuonyesha namna Tanzania iko mbali sana tuu

Hii hapa list namba 7 na 8 zitakushangaza

1. TZ tuna Iconic figure wa Africa Nyerere๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2. Best and longest SGR in Africa ipo Tz ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

3. Lugha ya Kiswahili ni ya Tz ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ na inazungumzwa Africa na dunia kote

4. Mlima mrefu kuliko yote Africa Kilimanjaro the Peak of Afrika ipo Tz ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

5. Tanzania ndio nchi yenye watu wakarimu mno kuliko majirani

6. Tanzania kuna n best artist kama Diamond, Zuchu sukuari ya majirani, Harmonize, Alikiba, Mboso nk

7. Msisahau Tz ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ hatulock down wakati wa covid na life ilisongo

8. Watoto wazuri bwana wako bongo tz ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ. Wadada wazuri balaa majirani kazi kumezea mate tu

8. Best beach ipo Tz ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ nenda. Dar es Salaam coco beach na huko Zanzibar ni kuzuri ajabu

9. Tz ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ tuna mbuga nzuri mno kama Serengeti, Arusha, Manyara, Ruaha nk

10. Mengine mengiiii mnayajua majirani

Leteni ya kwenu majirani tuone mkishinda hii battle

Tz 3 __majirani 00
 
kenya lockdown iliwashinda watu walikula virungu,unamzuia mtu na ndani hana unga!.

bye the way kenya wadada wazuri wapo English figure zimetamalaki kama wanyarwanda fulani hivi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ