Battle: Wanaume wa JF Vs Wanawake wa JF

Jmn msimkufuru mungu sasa kabla hujazungumzia haki sawa kwanza jiulize ww ni jinsia gani na wajibu wako na mjukumu ni yapi? Ukipata jibu ndio yanze kudai haki
Yapo mambo ambayo ni ya mwanamke, mwanaume hawezi kufanya hivyohivyo yapo ambayo ni ya kiume kamwe mwanamke ht hajaribu vp yatamshinda.
Xo mnpodai haki sawa mkumbukeni na muumba pia aliwapa kazi gani!
 
Pambaneni na hoja zenu nzito ila msituombe papuchi maana ndo udhaifu wenu nyie ME hapo hata kama hoja ina uzito gani unashangaa inapepea.........
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 

Katika jamii imezoeleka jinsia ya kike inadai haki. Hapa jf jinsia ya kiume ndo inadai haki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Siku mtakapoacha kutwa kucha kutujadili ndo mnaweza kutupita
60% ya thread za Jf ni wanawake na papuchi

25% siasa
15% mengineyo
Sasa kwenye jukwaa la mmu waliojaa ni wanawake.

Jukwaa la siasa na majukwaa mengine ya great thinkers wamejaa wanaume
 
Majukumu hayo ndo yanaifanya mizani ielemee upande mmoja na kumfanya mwanamume kuwa top
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…