Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Ushapiga kura?Nitakuja kupiga kura
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushapiga kura?Nitakuja kupiga kura
kwanini jirani? [emoji5]Hivi siku hizi umekuwaje jirani
We huoni jiranikwanini jirani?
BadoUshapiga kura?
Sioni mimiWe huoni jirani
Ile nukta veepe...Sioni mimi
tutaongea badae ngoja nifike home..Ile nukta veepe...
Sawatutaongea badae ngoja nifike home..
Naona unaomba papuchi [emoji41][emoji41]Kwako sina hoja
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Pambaneni na hoja zenu nzito ila msituombe papuchi maana ndo udhaifu wenu nyie ME hapo hata kama hoja ina uzito gani unashangaa inapepea.........
Jmn msimkufuru mungu sasa kabla hujazungumzia haki sawa kwanza jiulize ww ni jinsia gani na wajibu wako na mjukumu ni yapi? Ukipata jibu ndio yanze kudai haki
Yapo mambo ambayo ni ya mwanamke, mwanaume hawezi kufanya hivyohivyo yapo ambayo ni ya kiume kamwe mwanamke ht hajaribu vp yatamshinda.
Xo mnpodai haki sawa mkumbukeni na muumba pia aliwapa kazi gani!
Tena nyie mnaoneana wivu wenyewe kwa wenyeweEti hatupendani au inategemea ntu na ntu
Ikifikia hatua hiyo, maduka ya ndizi yatapata wateja wa kike sanaHata hatuna shida na madushelele
Ilianzishwa kwa ajili gani?Kwani jf ilianzishwa ili kutafuta nani bora??
Sasa kwenye jukwaa la mmu waliojaa ni wanawake.Siku mtakapoacha kutwa kucha kutujadili ndo mnaweza kutupita
60% ya thread za Jf ni wanawake na papuchi
25% siasa
15% mengineyo
Nipe papuchi yako basiNaona unaomba papuchi [emoji41][emoji41]
Majukumu hayo ndo yanaifanya mizani ielemee upande mmoja na kumfanya mwanamume kuwa topJmn msimkufuru mungu sasa kabla hujazungumzia haki sawa kwanza jiulize ww ni jinsia gani na wajibu wako na mjukumu ni yapi? Ukipata jibu ndio yanze kudai haki
Yapo mambo ambayo ni ya mwanamke, mwanaume hawezi kufanya hivyohivyo yapo ambayo ni ya kiume kamwe mwanamke ht hajaribu vp yatamshinda.
Xo mnpodai haki sawa mkumbukeni na muumba pia aliwapa kazi gani!