Battle: Wanaume wa JF Vs Wanawake wa JF

Sakayo kuwa tu mkweli... Wewe ukae mwezi mzima hujatongozwa alafu mwezio anatongozwa kila siku na watu wapya, hujisikii vibaya na wivu?
 
Sio mwezi tu hata mwaka mzima. Hivi kama niko na mchumba au mume sasa nahitaji kutongozwa ili iweje!!!!
Halafu hamna wakati mgumu kama wa kutongozwa !!!
 
Mbona nasikia mwanamke kutongozwa sana ndo prestige?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…