ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,938
- 6,942
Wadau wa soka salaam,
Iwapo spirit hii ya kuhuisha michezo itaendelea kwa miaka mitano tu ijayo, soka la Africa litahamia Tanzania.
Hawa watoa pesa wasisahau jambo moja muhimu kuwa, ili kuwa mendelezo yaani sustainability ya soka, lazima wawe na academy pia ili kufundisha soka la vijana na kukuza vipaji.
Hapo Tanzania itapiga hatua kubwa na soon tutakuwa na akina samatta wengi ulaya na hivyo kuinua uvhumi wa nchi pia.
Mpaka sasa Simba ni mbabe japo mimi Yanga. Kila mchezaji Yanga inamtaja kumnyemelea, simba wanaibuka na kumsaini. Hiyo ni nzuri, uzuri watafika mwisho wataridhika nasi tutasajili.
Azam angeongeza nguvu ingekuwa poa badala yake kapoa sana