Battle ya Simba SC na Yanga katika kutafuta Top African Player

ntamaholo

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
12,938
Reaction score
6,942
Wadau wa soka salaam,

Iwapo spirit hii ya kuhuisha michezo itaendelea kwa miaka mitano tu ijayo, soka la Africa litahamia Tanzania.

Hawa watoa pesa wasisahau jambo moja muhimu kuwa, ili kuwa mendelezo yaani sustainability ya soka, lazima wawe na academy pia ili kufundisha soka la vijana na kukuza vipaji.

Hapo Tanzania itapiga hatua kubwa na soon tutakuwa na akina samatta wengi ulaya na hivyo kuinua uvhumi wa nchi pia.

Mpaka sasa Simba ni mbabe japo mimi Yanga. Kila mchezaji Yanga inamtaja kumnyemelea, simba wanaibuka na kumsaini. Hiyo ni nzuri, uzuri watafika mwisho wataridhika nasi tutasajili.

Azam angeongeza nguvu ingekuwa poa badala yake kapoa sana
 
Timu zetu zinataka mafanikio ya haraka ndio maana haziwekezi mwa timu za vijana, ukiondoa azam na mtibwa nyingine zote zina timu za vijana jina
 
Hii ni battle nzuri yenye faida na maendeleo kwa mpira wa nchi yetu
 
Hizi kelele za soka la bongo ni ushuzi tu, yahani simba na yanga kugombania wachezaji wenye thamani za ela madafu ndio tunasema soka linakua na waarabu wasemeje sasa wanaweka One bilion kwa mchezaji mmoja
 
Hata me nashangaa!
 
Wadau wa soka salaam,

Iwapo spirit hii ya kuhuisha michezo itaendelea kwa miaka mitano tu ijayo, soka la Africa litahamia Tanzania.

Hawa watoa pesa wasisahau jambo moja muhimu kuwa, ili kuwa mendelezo yaani sustainability ya soka, lazima wawe na academy pia ili kufundisha soka la vijana na kukuza vipaji.

Hapo Tanzania itapiga hatua kubwa na soon tutakuwa na akina samatta wengi ulaya na hivyo kuinua uvhumi wa nchi pia.

Mpaka sasa Simba ni mbabe japo mimi Yanga. Kila mchezaji Yanga inamtaja kumnyemelea, simba wanaibuka na kumsaini. Hiyo ni nzuri, uzuri watafika mwisho wataridhika nasi tutasajili.

Azam angeongeza nguvu ingekuwa poa badala yake kapoa sana
katika timu zote Azam ndiyo wamelamba dume kwa yule striker mzimbabwe, bonge la mchezaji!
 
Timu zetu zinataka mafanikio ya haraka ndio maana haziwekezi mwa timu za vijana, ukiondoa azam na mtibwa nyingine zote zina timu za vijana jina
Alafu hzo timu ulizoztaja ukizlinganisha na simba na yanga zp zenye mafanikio
 
Mtibwa wamekuwa wakiuza zaidi kama wasingekuwa wauzaji wangekuwa tishio kubwa, azam nao hawaeleweki wanakuza wanatoa kwa mkopo halafu wanaondoka bure unapokuwa na academy nzuri unapunguza gharama za usajili na kuwa na timu tishio ya baadae mfano mzuri Asec ya kina Kole Toure
 
In reality hakuna battle. Soko ni kubwa mno kwa kila timu kufanya au kusajili inavyoweza.
Sio kila mchezaji atatiki. Lazima wawepo akina Ype na Sserunkuma.
 
Hizi kelele za soka la bongo ni ushuzi tu, yahani simba na yanga kugombania wachezaji wenye thamani za ela madafu ndio tunasema soka linakua na waarabu wasemeje sasa wanaweka One bilion kwa mchezaji mmoja
Si wanaweka kwasababu wanayo...mbona hawaendi kugombea wachezaji na timu za ulaya?
Love Yours_ Jay Cole
 
Wadau wa soka salaam,

Iwapo spirit hii ya kuhuisha michezo itaendelea kwa miaka mitano tu ijayo, soka la Africa litahamia Tanzania.

Hawa watoa pesa wasisahau jambo moja muhimu kuwa, ili kuwa mendelezo yaani sustainability ya soka, lazima wawe na academy pia ili kufundisha soka la vijana na kukuza vipaji.

Hapo Tanzania itapiga hatua kubwa na soon tutakuwa na akina samatta wengi ulaya na hivyo kuinua uvhumi wa nchi pia.

Mpaka sasa Simba ni mbabe japo mimi Yanga. Kila mchezaji Yanga inamtaja kumnyemelea, simba wanaibuka na kumsaini. Hiyo ni nzuri, uzuri watafika mwisho wataridhika nasi tutasajili.

Azam angeongeza nguvu ingekuwa poa badala yake kapoa sana
Azamu wamefanya usajili mzuri sana msimu hui, Ligi itakua na ushindani sana
 
Hizi kelele za soka la bongo ni ushuzi tu, yahani simba na yanga kugombania wachezaji wenye thamani za ela madafu ndio tunasema soka linakua na waarabu wasemeje sasa wanaweka One bilion kwa mchezaji mmoja
Development is process not an event
 
Wachezaji wazuri hawajawahi kwisha sokoni sioni kwa sababu gani hizi timu ziwe zinagombania wachezaji. Kwa mfano sasa hivi Simba inaonekana kama imeshamaliza usajili lakini uhakika ni kwamba hata kama Yanga wangeanza usajili leo hapa East and Central Afrika bado wangepata wachezaji wa kutosha kwa "level" yetu. Kwa Tanzania wachezaji wetu ni dola 50,000 mpaka kidogo100,000 wanaozidi hapo ni wachache sana na wanahesabika kwenye ligi yetu. Na wachezaji wa kati ya dola 50,000 mpaka dola 100,000 wapo wengi sana Afrika lakini hizi timu zetu mbili kubwa hazina "scouting" badala yake kila moja inasubiri mwenzake alete mchezaji halafu akishafanya vizuri wanaanza kugombaniana. Ifike sasa wavunje kamati zao za usajili badala yake waunde "scouting team" zenye watu wachache sana watakaowasaidia kuzunguka nchi mbali mbali kutafuta vipaji zitawasaidia kupata wachezaji wazuri sana vijana kwa bei ya kutupa halafu wao watawauza kwa bei kubwa baada ya misimu miwili mitatu hivi.
 
Mpira wa nchi utakuwa mpaka hapo mtakapoacha ushabiki maandazi
 
Hizi kelele za soka la bongo ni ushuzi tu, yahani simba na yanga kugombania wachezaji wenye thamani za ela madafu ndio tunasema soka linakua na waarabu wasemeje sasa wanaweka One bilion kwa mchezaji mmoja

Wabongo tunakuza sana mambo.. bei aliyonunuliwa ben malango kutoka tp mazembe kwenda raja casablanca inanunua simba timu nzima.. halafu unasema tutatingisha soka la africa kwa usajili wa wachezaji wa mafungu

Yule dogo wa mazembe jackson muleka aliyempiga kanzu pascal wawa taifa dar kisha akaangushwa kwenye box.. ameuzwa na mazembe kwa bei ya dola milion 5. ambayo unanunua simba na yanga wachezaji wote kwa pamoja na hela ya kujenga viwanja kama bunju complex kazaa inabaki
 
Back
Top Bottom