Huenda hilo ni banda [tuseme jengo kama mnavyoita] la kwanza kujengwa na kumilikiwa [if that] na chama ndiyo maana linahubiriwa kama maendeleo.Wewe boya nani alikuambia CHADEMA inahitaji kuproove kwako kuwa hili jengo ni lake? Usipoamini utajijua mwenyewe.
Kuzindua jengo haimaanishi ni mali yao.Mnatapeli ili iweje? Mnataka kuonyesha kuwa mnakubalika? Kwa nini jiwe la msingi mnaandika kwa peni inayofutika? Sababu mnataka kudanganya.View attachment 2241841
Hili jengo ni mali yenu? Huko misungwi? Semeni kweli tusijetukawaumbua acheni uongo
View attachment 2241843
Si mlisemaga ni mchagaHuko ndio nyumbani kwa J J Mnyika
Mpare na MsukumaSi mlisemaga ni mchaga
Wewe boya anayejadili ni wewe au CHADEMA?Huenda hilo ni banda [tuseme jengo kama mnavyoita] la kwanza kujengwa na kumilikiwa [if that] na chama ndiyo maana linahubiriwa kama maendeleo.
Vinginevyo kukenua na kujadili banda kama hili ni udumavu wa afya ya akili.
CHADEMA na nyumbu wa aina yako mnaovimbia hilo banda eti mmepiga hatua.!Wewe boya anayejadili ni wewe au CHADEMA?
Unateseka ukiwa wapi wewe boya?CHADEMA na nyumbu wa aina yako mnaovimbia hilo banda eti mmepiga hatua.!
Pia hajui kama SII zile walizokuwa wanazibomoa kiharamia zingekuwa ofisi zimeenea Hadi mlangoni mwake pamoja na wivu wake wote Kwa Chadema 🚶Wacha maneno wewe weka jina la mmiliki hapa kwa nyaraka halali