kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Nimemuangalia pambalu anavyozungumza ,nimegundua CHADEMA hawapo tayari kushika dola.
Ni kama comedian ana cheka cheka hata pasipo hitaji kucheka kifupi hayupo serious ,kama ndio tanuri la viongozi wa baadae wa Chadema na huyo ndio mnamtegemea naiona chadema ikidumaa .
Haitopata vijana tena kama mnyika,shonza,mdee na wengineo huyu yupo kimasikhara sana!
Yaani sio wale pipooooooz pawaaaa sum sum kazi ngumu hatupigi tunaua kwanini kwa sera!