BAVICHA kuna ombwe kubwa la uongozi

BAVICHA kuna ombwe kubwa la uongozi

Kwao wewe hujuwi kuwa Pambalu ni debe tupu? Hajuwagi kujenga hoja,wala kushawishi ,wala kuvutia kwa hoja kumsikiliza ,wala kuteka hisia ,wala kuelewa mambo kwa upana wake wala kuwa na mtiririko unao eleweka. Yeye ni mtu wa mihemuko,kutoa sana macho,kupandisha sauti kama mlevi, kuropoka na kuserereka bila breki ya mdomo,hana muunganiko mzuri wa akili na mdomo wake,hajuwi aanze nini na amalize na nini,hajuwi kuyazungumzia mambo katika namna ambayo itateka hisia za watu.

Ndio sababu Ba Vichaa ipo kama haipo,ndio sababu Na vichaa haina ushawishi kwa vijana na makundi mengine,ndio sababu sauti ya Ba vichaa haisikiki katika masikio ya vijana.hii ni kwa kuwa haina hoja zenye kugusa maisha na maslahi ya vijana ya kila siku,kiongozi na viongozi wa Ba vichaa wamekaa kihuni huni na wenye mambo ya kihuni huni na wasio na staha wala adabu wala heshima ya midomo na vinywa vyao. Hii ndio sababu wanapuuzwa ,kudharauliwa na kutosikilizwa kwa hoja zao au matamko yao au maazimio yao.

Ni mkusanyiko wa vijana waliokosa malezi mazuri ya wazazi wao ,ndio maana midomo na vinywa vya vimejaa matusi na lugha chafu sana .huwezi ukapoteza muda wako kuwasikiliza na kushawishika na kile wanachokizungumza kwa sababu muda mwingi wanakuwa ni kama wamevuta mibangi au kubugia pombe kali wakati hawajala hata chakula.

Ngoja niishie tu hapa kwa sasa.

UVCCM ndio tumaini la watanzania hasa vijana katika kuwaunganisha na kuwasemea maslahi yao yanayogusa maisha yao ya kila siku.
Mhuni ni wewe mkuu, kuitenganisha nomino Bavicha na kutengeneza madudu uonavyo wewe inafaa, 'Ba vichaa' kwa kibondei maana yake 'ya vichaa'.
Kwanini umeamua kupindisha maana halisi ya jina la chama pendwa na kuamua kukitusi hadharani?
 
Akija Sisiemu huyu baraza la mawaziri lazima liwe adjusted ku muaccomodate kijana awe hata Naibu mifano hai mnayo
Huyo anawafaa chadema kuandaa zile joggjng za kila mwezi zisizo na tija wala agenda!
 
NImepotosha nini?
Hizo Propaganda ulizoandika hapo BAVICHA hakuna obwe la uongozi Kijana J Pambalu huwezi kifananisha na Jokate au hata Makonda.

Kwenye ombwe la Uongozi ni huko CCM ndio maana panga pangua haziishi.
 
Kwao wewe hujuwi kuwa Pambalu ni debe tupu? Hajuwagi kujenga hoja,wala kushawishi ,wala kuvutia kwa hoja kumsikiliza ,wala kuteka hisia ,wala kuelewa mambo kwa upana wake wala kuwa na mtiririko unao eleweka. Yeye ni mtu wa mihemuko,kutoa sana macho,kupandisha sauti kama mlevi, kuropoka na kuserereka bila breki ya mdomo,hana muunganiko mzuri wa akili na mdomo wake,hajuwi aanze nini na amalize na nini,hajuwi kuyazungumzia mambo katika namna ambayo itateka hisia za watu.

Ndio sababu Ba Vichaa ipo kama haipo,ndio sababu Na vichaa haina ushawishi kwa vijana na makundi mengine,ndio sababu sauti ya Ba vichaa haisikiki katika masikio ya vijana.hii ni kwa kuwa haina hoja zenye kugusa maisha na maslahi ya vijana ya kila siku,kiongozi na viongozi wa Ba vichaa wamekaa kihuni huni na wenye mambo ya kihuni huni na wasio na staha wala adabu wala heshima ya midomo na vinywa vyao. Hii ndio sababu wanapuuzwa ,kudharauliwa na kutosikilizwa kwa hoja zao au matamko yao au maazimio yao.

Ni mkusanyiko wa vijana waliokosa malezi mazuri ya wazazi wao ,ndio maana midomo na vinywa vya vimejaa matusi na lugha chafu sana .huwezi ukapoteza muda wako kuwasikiliza na kushawishika na kile wanachokizungumza kwa sababu muda mwingi wanakuwa ni kama wamevuta mibangi au kubugia pombe kali wakati hawajala hata chakula.

Ngoja niishie tu hapa kwa sasa.

UVCCM ndio tumaini la watanzania hasa vijana katika kuwaunganisha na kuwasemea maslahi yao yanayogusa maisha yao ya kila siku.
Ukitaka kujua Pambalu hana pointi anapoongea, hata Erythrocyte hajapost chochote alichosema. Anamsubiri Ayatollah Mboweeeee!!!
 
Back
Top Bottom