BAVICHA kusherehekea sikukuu ya Eid El Fitri Gereza la Ukonga pamoja na Mashehe wa Uamsho


Ficha ujinga wako mkuu
 
Hao kuna kitu chini ya kapeti walikuwa wanakiandaa. Ndio waliochochea watalii kumwagiwa tindikali, makanisa kuchomwa, Mapadree kupigwa risasi na kuuawa, kwa ujumla matukio yenye kuashiria ugaidi yaliingia Zanzibar kwa kasi. Hao si wafungwa wa siasa na wakae Sero mpaka wawe wazee sana.
 
Ni vema na ni utu kuwaonea huruma wanaoteseka. Hongera BAvicha.
 
Bavicha mnawaharibia hawa watuhumiwa wa uhaini!
 
kama mna ushahidi na hilo kwanini msiupeleke mahakamani mkawahukumu kunyongwa au kifungo cha maisha ?
 
Naona mnaendelea kumchokonoa Mama
 
Nani atawaruhusu?
 
UPDATES
=========
Viongozi wa Bavicha wamezuiwa kuingia gereza la Ukonga , ambapo taarifa ya Askari wa zamu inaeleza kwamba KUNA MAAGIZO KUTOKA JUU KUIZUIA BAVICHA KUWAONA UAMSHO .

Maagizo kutoka juu kwa mama au?
 
kama mna ushahidi na hilo kwanini msiupeleke mahakamani mkawahukumu kunyongwa au kifungo cha maisha ?
Ushaihidi ni huo kwamba wako gerezani na Zanzibar iko swariii. Unataka nini zaidi? Uzuri ni kwamba unajua kila kitu na nafsi yako inakusuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…