Sidhani kama wale mashehe wamewekwa rumande kwa miaka 9 “kwa sababu za kisiasa”.
Kuna kitu kipo nyuma ya pazia sisi common wananchi hatukijui na labda hatutakijua kamwe. Zile zama za mapadre kuuawa na makanisa kuchomwa zilishamiri sana enzi zile wakati wa vuguvugu la watu hawa. Labda hii ndio “sababu ya kisiasa”
Huu mfupa wa hawa mashehe uliwashinda marais wote wa bara na visiwani. Ngoja tuone mama Samia atafanyaje.
Ficha ujinga wako mkuu