We chawa tu, kibaraka, mke mdogo wa mkoloni mzawa.Mbowe na Salum mwalimu wamevuta bilion 3 kimya kimya kwa kuwazunguka Lisu na mnyika kuna mtiti unafukuta chini chini na endapo kesho mbowe haitawafukuza akina mdee atambue kuwa chadema inafariki ghafra kama CUF ya Lipumba
Kila siku mnaota Chadema kufa, ilipowafukuza madiwani watano wa Arusha mkasema ndio mwisho wa Chadema, alipoondoka Zitto mkasema Chadema inakufa alipoondoka Slaa mkasema Chadema inakufa.Mbowe na Salum mwalimu wamevuta bilion 3 kimya kimya kwa kuwazunguka Lisu na mnyika kuna mtiti unafukuta chini chini na endapo kesho mbowe haitawafukuza akina mdee atambue kuwa chadema inafariki ghafra kama CUF ya Lipumba
Unasikia kwa kutumia matako, jaribu kutumia masikio.Hata Lissu mbona nasikia naye kavuta 1 billioni
Nawapongeza kujiteua maana wengine wamegoma kuwateua kwa hasira za kukataliwa na wananchi.Kama mambo hayaendi nenda we we.Tanzania oyeerrHawa ni baadhi viongozi wa BAWACHA waliojiteua kuwa wabunge wa viti maalumu unategemea waseme nini.
1. Halima Mdee - M’kiti BAWACHA Taifa, Mbunge vm
2. Hawa Mwaifunga - Makamu M’kiti BAWACHA, Mbunge vm
3. Grace Tendega - Katibu BAWACHA, Mbunge vm
4. Jesca Kishoa - Naibu Katibu Mkuu BAWACHA, Mbunge vm
5. Asia Mohamed - Naibu Katibu BAWACHA, Mbunge vm
6. Agnester Kaiza - Mwenezi BAWACHA Taifa, Mbunge vm
Pole, unajitahidi kuokoteza vitu. Endelea kuokotezaKwa CHADEMA ipo maana hakuna ulaji. Kwa CCM kumvuruga Jiwe ni kuvuruga mlo wa watoto na uhai, hivyo Jiwe ni final, hakuna kamati kuu,Hakuna anyeweza kumbishia Jiwe. Lukuvi hakuna Urais, amejibu?
Chadema imeingiliwa na mdudu,Hakuna haja ya kuwasulubu akina Mdee.Lakini wapo watu wengi hawajui kilicho ndani.Wakianza kuumbuwana ndio mwisho wa Chadema.Wanakaa kuongea nn wakati walishakaa na akidi ilitimia na Mpaka kura zilipigwa?
Mdee ataongea na waandishi wa Habari hapo Sasa ndio mtajua madudu ya viongozi wa chadema na hakuna mtu ataamini
NINYI PIA MSIJE MKAPEWA FEDHA AU MADARAKA ,WANASIASA MNAYUMBISHWA NA MATUMBO YENUKamati tendaji ya Baraza la Vijana CHADEMA (BAVICHA) usiku wa kuamkia leo imefanya kikao chake cha dharura kilichoongozwa na Mkiti wake John Pambalu.
Leo saa 5 asubuhi kinatarajia kuongea na waandishi wa habari kutoa msimamo wake juu ya kinachoendelea kuhusu wabunge wa Viti Maalumu.
“BAVICHA tumemaliza kikao cha Kamati ya utendaji taifa sasa saa 10:30 usiku. Msimamo wetu tutautangaza kesho saa 11:00 Asubuhi mbele za waandishi wa habari katika Ofisi za Makao Makuu ya Chama Kinondoni”. - JPambalu.
BAWACHA iko wapi?
Mdudu mdee lazima adulubiwe,fedha na madaraka ndiyo chanzo kikuuChadema imeingiliwa na mdudu,Hakuna haja ya kuwasulubu akina Mdee.Lakini wapo watu wengi hawajui kilicho ndani.Wakianza kuumbuwana ndio mwisho wa Chadema.
Haaaa Jiwe jiweKwani CCM ina kamati kuu? Kamati kuu ni mtu mmoja, Jiwe. acha hizo John.
HAKUNA kitu kinaweza kufanyika hila baraka za Mbowe, mbona halima alisema hadharani bado nyumbu hamjielewi tuu?Ndiyo maana nasema Mbowe alitolee msimamo ambao ni final and conclusive
Kwahiyo hamtakufa? Na madudu yote haya ya mwenyekiti wenu?Kila siku mnaota Chadema kufa, ilipowafukuza madiwani watano wa Arusha mkasema ndio mwisho wa Chadema, alipoondoka Zitto mkasema Chadema inakufa alipoondoka Slaa mkasema Chadema inakufa.
Kitu gani mwenyekiti wa bawacha hajaongea? Pale bungeni aliongea kwamba wanamshukuru Sana mwenyekiti Mbowe kwa kuwawezesha wao kwenda bungeni na kuwa wabunge wa chadema viti maalum. Sasa nyie wengine mnataka Nini?BAWACHA chini ya mwenyekiti Mdee naye huenda anapaswa azungumze na wanahabari.
BAVICHA Vs. BAWACHA leo!
Leo hii chadema wanaajiriwa na Ndugai? Kweli chadema kwisha habari yao.Wafutiwe uanachama na huyo mwajiri wao Ndugai apewe barua
Huu ni ubinafsi mkubwa kabisa, hata kama ingekuwa ni BAWACHA kupelea list kwa nguvu basi ingeteua mabinti wadogo ambao hawana exposure kisiasa kuwateua kuwa wabunge wa viti hivi - sasa tunaona kina mama wazee tu ambao wengine wamekuwa wabunge awamu mbili hadi tatu majimboni sasa hawa nao wanahitaji kuwa in-powered ?Hawa ni baadhi viongozi wa BAWACHA waliojiteua kuwa wabunge wa viti maalumu unategemea waseme nini.
1. Halima Mdee - M’kiti BAWACHA Taifa, Mbunge vm
2. Hawa Mwaifunga - Makamu M’kiti BAWACHA, Mbunge vm
3. Grace Tendega - Katibu BAWACHA, Mbunge vm
4. Jesca Kishoa - Naibu Katibu Mkuu BAWACHA, Mbunge vm
5. Asia Mohamed - Naibu Katibu BAWACHA, Mbunge vm
6. Agnester Kaiza - Mwenezi BAWACHA Taifa, Mbunge vm
Na halima anaongea na waandishi wa Habari soonChadema imeingiliwa na mdudu,Hakuna haja ya kuwasulubu akina Mdee.Lakini wapo watu wengi hawajui kilicho ndani.Wakianza kuumbuwana ndio mwisho wa Chadema.
Mbowe na Salum mwalimu ndiyo wamewauza kitumwa hao wanawake kwa Ndungai kwa njia haramu za kishetani na sasa kesho hawajui waje na majibu gani kwani hawakutarajia siri zao kujulikanaTaarifa za maandalizi ya kuapishwa zilikuwepo.
Kwahiyo, chama kingekuwa serious kingeitisha mkutano kabla ya kuapishwa kikawaonya, na baada ya kuapishwa kingeitisha mkutano immediately.
Chadema itakufa kama CCM kwa makosa ya chama sio ya kutengenezwa kama haya.Kwahiyo hamtakufa? Na madudu yote haya ya mwenyekiti wenu?
Hata wao hawakupaswa kuwa kwenye viti maalum kwani tayari wamegombea kwenye majimbo, Halima mdee anaizika chadema kwa njaa zake, ni mara mia wamfukuze kabsa chadema itaheshimika kuliko kubaki nae kisha chadema ifariki ghafra kama CUF ya LipumbaNa halima anaongea na waandishi wa Habari soon
Atasema kila kitu Mpaka Hao madem wa viongozi ambao walikuwa wanataka wawe kwenye viti maalum ambao yy ajawaweka