BAVICHA: Tumesikitishwa na tunalaani kitendo cha BASATA kuufungia wimbo wa ‘MAMA'

 
Hivi mjue hii ni aibu kubwa sana.
Yaani bavicha mmekaa kabisa mnaandika barua kisa wimbo.

Na hamjui tatizo liko wapi? Hadi mnapoteza muda?

Sheria si zilipitishwa bungeni?
Mnatakiwa muandamane muende Dodoma
Yaani nyie mnatia aibu sana

Hivi kiongozi wenu kapat div ngapi form 4?
 
Hapo sipo kwenye wimbo tu Tanzania tumezidi kudhibitiana
ukiachia kila kitu au kila mtu atukane hivi kweli hii nchi si itakuwa kama jamaica kwa wavuta bange ingawaje wao wana vichwa vya bange sisi ndiyo tutakuwa tunatukana hovyo
 
Naona sasa wameamua kuupa promosheni huo wimbo. Sasa ndiyo utasikilizwa na watu wengi zaidi.
 
Zama za Hitler zilipokwisha dunia haikuwa tena na imani na wajerumani, mpaka leo utaambiwa wajeru sio watu, sasa mimi nashangaa imani yenu kwa serikali hii sijui inatoka wapi.
 
Mama D....
 
Unataka hadi wakienda kwenye majukumu yao ya kila siku wawe wanakutangazia.unashindwaje kujua ku

Unataka hadi wakienda kwenye majukumu yao ya kila siku wawe wanakutangazia.unashindwaje kujua kuna shughuli za kila siku na kuna taarifa kwa umma.
Basi kama ni hivyo kunatatizo. Inawezekana kumbe kunashughuli nyingi tu hizi unazoziita za kila Siku ambazo zinazaa matunda, lakini hazitengenezewi 'taarifa kwa umma'
Mimi nilidhani mafanikio ya shughuli za vyama vya upinzani ndiyo yangepewa kipaumbele kwenye 'taarifa kwa umma' na si haya matamko kama yakupinga mziki flani kufungiwa. Mimi naamini chadema inamasuala makubwa sana ya kuadress kwa umma.
 
Katika wimbo huo kwa vile kamtaja Halima ndiyo mumeo kama bonge la wimbo la uwanaharakati. Hii inchi haiendeshwi kwa mihemuko ya kiuanaharakati. Subirini baada ya miaka 50 ijayo ndiyo muendelee na maandamano yenu
 
Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…