safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
"🎧🎤🎤🎤Mama! Baba alikua mkali mkali hata wenyewe unajua......🎶🎶🎶🎺"
Huu wimbo ni Bonge la sanaa... ila ndio msanii mwenyewe keshajua mtu mzima hakosei😅😅
Bigup kwako msanii NayWaMitego, wewe ni mkaliii
Afadhali alikua mkali na sio dhaifu...... aendelee kulala salama dad ake🙏
Sanaa yake ni kubwa sana.
Kampatia sana mama SASHA na ule ushungi.
Mama anachora ramani nyingine ya tanzania anaanza upyaaaaaaaaa