BAVICHA: Tumesikitishwa na tunalaani kitendo cha BASATA kuufungia wimbo wa ‘MAMA'

Chama cha watu. Uhuru haki na maendeleo ya watu.
 
Bwacha na bavicha sasa hivi wamechukua nafasi ya mataga kusifia ccm
Afadhali umekiri mwenyewe kuwa WANASIFIA. Kwa sababu enzi za Mwendazake mulikuawa mnasema wapinzani wanapinga kila kitu, sasa kwa maneno yako haya umekiri mwenyewe kuwa Wapinzani Hawapingi kila kitu,vingine vikiwa vizuri wanasifia.

Tunashukuru ndugu Mataga kwa kuliweka hili vizuri
 
Maccm hayana jema. Leo yamebadilika tena.
 
Sasa kama waliumia kwann waendelee kushikilia maumivu ingekua waliumia kama mnavyo Sema wala msingekua mnalaum
 
Anatanguliza Maslahi ya nchi mbele sawa sawa, badae msije mkasema ccm ni ile ile na huyo Mama ukamkataa, maana binadamu wana tabia za kinyonga
 
Yaan hawana policy,hawana majukumu.Ila ni vurugu tupu.Halafu huyu yeye Ney ,hana nyimbo kama kina Diamond. Ni nyimbo za siasa tu.
 
Anatanguliza Maslahi ya nchi mbele sawa sawa, badae msije mkasema ccm ni ile ile na huyo Mama ukamkataa, maana binadamu wana tabia za kinyonga
Vyovyote itakavyokuwa lakini hawezi fikia kiwango cha unyama cha bwana yule!!kwani daa yule alikuwa sio binadamu
 
Kwani sio wapinzani hawahawa walimsifia JPM alipoingia na kusema anatumia sera za chadema ikiwa ni ku represent hate zao kwa JK ambaye soon wakamwita malaika?

Hatujawahi kuwa na serious upinzani[emoji16][emoji16]
 
Kwani sio wapinzani hawahawa walimsifia JPM alipoingia na kusema anatumia sera za chadema ikiwa ni ku represent hate zao kwa JK ambaye soon wakamwita malaika?

Hatujawahi kuwa na serious upinzani[emoji16][emoji16]
Ki ukweli MEKO, alianza vizuri hasa kwenye vita dhidi ya rushwa, na uzembe kazini!!lakini kadri siku zilivyoenda ndio akazidi kujipambanua ngozi yake!!kama ni jeshini alianza na cheo cha GENERAL, ila cha kusikitisha ameondoka na cheo kama MGAMBO!!!
 
Hao wasanii wa bongo Acha wapambane na hali zao wenyewe

Ova
 
Ukweli alivyoimba kuponda viongozi bila ushahidi pia si sahihi

Yuko Chadema LAKINI TUHUMA ALIZOWAKILISHA HAZINA USHAHIDI

PILI HAJUI MAJUKUMU YA RAISI.majukumu yake sio kuingilia mambo ya bunge ya akina Halima mdee

kifupi alichoimba ni ujinga mtupu uliojaa uchochezi na tuhuma zisizo na ushahidi

pole yake kwa kupoteza pesa za kurekodi studio heri angefungua genge
 
Na nyie acheni kimbelembele.
Mnawapigania mwisho wa siku wanaenda kufanya kampeni CCM.
Acha waumizwe
 
CCM wamezoea mbeleko.... Hivi mwana FA washindane kwa hoja na Godbless Lemma/ au yule meneja wa diamond umweke na Zitto.... Mama anataka mjadala wa wazi bungeni(amesifia bunge la Kenya,huwa anaskiliza)...
 
BASATA bado ipo ktk "MODE" ya mwendazake! Bado jinamizi la Jiwe linawaandama.
Midhali kuna Wizara inayohusu utamaduni na wako maafisa utamaduni SIONI HAJA YA KUWEPO "BASATA" kwani inaendeshwa kwa mihemko ya kisiasa badala ya weledi.
Ama kukosoa na kufariji walioachiwa madonda kwa basata huenda ni makosa...
Ingekuwa ni rahisi wao BASATA wangetunga na kuimba nyimbo zao ingependeza...
Wakifungia walipe na fidia...
 
BASATA wanataka kila msanii aimbe wimbo kama ule wa Magufuli baba lao
 
Wimbo umejaa u-BAVICHA, haufai kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…