BAVICHA: Tumesikitishwa na tunalaani kitendo cha BASATA kuufungia wimbo wa ‘MAMA'

Sanaa yake ni kubwa sana.

Kampatia sana mama SASHA na ule ushungi.

Mama anachora ramani nyingine ya tanzania anaanza upyaaaaaaaaa
 
Hivi nyie chadema huwaga mna kumbukumbu na maoni mnayotoaga siku za nyuma?ili kuwaaminisha Watanzania ni watu makini au Walaghai kipindi cha nyuma mlisema JPM anachukiwa na wanaccm wengi ndani ya chama leo tena mnakuja na staili ile ile kwangu mm nawaona kama wambea tu, wachonganishi na sio watu wenye mawazo kinzani yanayoweza kutoa matokeo chanya kwa mstakabali wa nchi yetu.
 
Acha kutupa sifa bwana, watanzania tungekuwa makini , tungefanyiwa mambo ya KIHANISI kiasi kile?!!yaani nchi inaongozwa kutegemea na jamaa ameamkaje?!!hayo mawazo kinzani unayatoa vipi wakati kila kitu anakijua yeye mtukufu, anayefikiria kuwa upinzani ndio kikwazo kwa maendeleo ya nchi?!!muacheni mama afanye analoweza hii ni awamu yake ya sita, hajamshikia huyo god wenu, kubalini tu kuwa jamaa ameshatoka!!na ndio maana sasa hivi upinzani wake unaonekana toka kwa nyie wafuasi wa mwendazake!!kwani sasa amerudisha furaha kwa watz wengi sana, sio zile siasa za kishamba za miaka ya 60!!
 
Watanyooka tu basata kazieni hapohapo tumesikilizishwa utopolo kwa muda mrefu.
Hahahaa!!basata chali, tuliwaambia hayo masheria yalitungwa ili kumfurahisha shetani, sasa hayupo na hao badala ya kujiongeza mwishoni wanaishia kuabika!!leo waziri amepiga stop utaratibu huo eti wimbo ukakaguliwe kwanza basata!!SHAME ON U
 
BARAZA

LA

VICHAA

umeona matokeo ya matamko ya unaowaita vichaa?
 

Unaona matokeo ya ujinga wa bavicha?
 
Endeleeni kulaani hivyo hivyo mpaka siku ya mwisho
njoo huku siku ya mwisho imefika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…