Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Minyoo jiheshimu kaka...Wewe ndiyo mshamba wa siasa njaa za kuendekeza ruzuku haramu za kishetani na kutelekeza msitakabali wa chama, chama kitwzikwa wakisalia hao punje njaa 19 , heshima ikibakia chama kitaimarika wapo wanawake wengi wa shoka wenye Akili timamu siyo wasagaji kama Bulaya na mdee, chadema inayo hazina kubwa ya wanawake hao akina mdee ni punje tu
Kuhoji hujuma za akina mdee ni utoto?Bavicha wamejaa UTOTO
....ana ushawishi mkubwa wa KISIASA "ndani" ya CHADEMA....Kama mlijua mdee ana ushawishi mbona mmempora ubunge kwa njia haramu za kishetani kule kawe
Nikuletee ushahidi wapi? Gheto kwa Bulaya au kwa mdee au kwa boss wako polepole uliyefanya nae udalali?Minyoo jiheshimu kaka...
Hao unawatuhumu HIVYO umeshawahi KUWASHUHUDIA?!!!
WEKA USHAHIDI tuuone....
Vinginevyo ni KUTAPATAPA kwa matusi na Kukosa UTU tu
Umetuhumu HADHARANI....Nikuletee ushahidi wapi? Gheto kwa Bulaya au kwa mdee au kwa boss wako polepole uliyefanya nae udalali?
Ndiyo maana wakawazidi makamanda kwa idadi ya kura sababu ni wengi, Sasa mbona mnalialia eti mmeibiwa kura?Nyumbu ni CCM kwani hata mbugani nyumbu ni wengi kama CCM
CCM iibe kura dhidi ya mgombea yupi?Chadema mbona Ina nguvu mpaka Sasa.
Au umesahau kuwa watu wale wa chamwino Ni kura feki na wizi wa kura ndo vimewasaidia?.
Hauwezi kusema chadema imekufa wakati ccm wameiba kura na kutengeneza kura feki
Kusingekuwa na umoja wa wawanawake kama kungekuwa na ubaguzi ndiyo maana wametumia mfumo Jike kujiteua kienyeji kishamba na kishetani kwenda utumwani kwa Ndungai.
....ana ushawishi mkubwa wa KISIASA "ndani" ya CHADEMA....
Mnawabagua wanawake....
Mna mfumo DUME WA KIBAGUZI....
Nyumbu ni CCM na CCM wengi huwa siyo wapiga kura kwani wengi wapo CCM kulinda mali zao wasibambikiwe kesi kupata uonevu lakini moyoni hawana vyamaNdiyo maana wakawazidi makamanda kwa idadi ya kura sababu ni wengi, Sasa mbona mnalialia eti mmeibiwa kura?
Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu!
Nyumbu hovyo kabisa.
Kusingekuwa na umoja wa wawanawake kama kungekuwa na ubaguzi ndiyo maana wametumia mfumo Jike kujiteua kienyeji kishamba na kishetani kwenda
Kuna CHAMA kikosacho UMOJA WA WANAWAKE?!!kwa Ndungai
Danga Huenda ukawa Ni wewe...Wafukuzwe haraka
hao madanga
Chadema ina vyama rafiki Duniani kote kuanzia America UK German, France na umoja wa falume za kiarabu pesa za mishahara siyo haba ni bora isalie kuwa heshima kuliko kukaa na kudharaulika Nchi nzimaChadema inakwenda KUSHINDWA KUWALIPA MISHAHARA WAFANYAKAZI WAKE pale UFIPA NA NCHI NZIMA....
Ruzuku ni HAKI YENU...
Ruzuku ni HALALI YENU...
CHADEMA msiwafukuze akina Mdee...tumieni BUSARA....
KALAGHABAHO
Yuda Iskariote alikuwa mwanafunzi wa Yesu.Mnakwenda kuwavuruga wanaCDM....
Leo Hallima Mdee Ni Mnafiki wa kustahili kuja CCM?!!!
Mtu aliepambana USICHANA WAKE WOTE mpaka leo amekuwa dada mtu mzima?!!
Mnafiki na msaliti ni yeye ama WEWE kutokutoka YALE MAANDAMANO YA AMANI?!!
Minyoo hakuandamana.....
SKY ECLAT hakuandamana....
ERTHYROCYTE hakuandamana...
Salary Slip hakuandamana.....
Mdee Kalala mahabusu na kudhalilika mara KIBAO....
Esther Matiko mpaka VIDEO ZIPO....
WOTE HAO NI WASALITI EEE?
ILA MBOWE ALIYEBADILI GIA ANGANI BAADA YA MSHENGA KWENDA...na mh.Lowassa kuingia...ule haukuwa Ni USALITI NA UNAFIKI EEE?!!!
Siasa koko ni kukumbatia upumbavu wa akina mdee , Siasa safi ni kuwafukuza akina mdee ingawa wakifukuzwa utakosa uteuzi na mgaoKuna CHAMA kikosacho UMOJA WA WANAWAKE?!!
Kwani WANAOWABAGUA wanawake hawaishi nao?!!!
CHADEMA mnakwenda kufa kwa sababu ya SIASA KOKO....
Naunga mkono hoja yako kwa 100%Yuda Iskariote alikuwa mwanafunzi wa Yesu.
Aliaminika mpaka kuwa mtunza hazina. Baada ya miaka karibu minne ya kufanya kazi ya Mungu akiwa karibu kabisa na Yesu Kristo, bila kupepesa macho alipokea mpunga na kumsaliti. Hiyo ndio kazi ya shetani na hana aibu wala mipaka, huenda hata ndani ya makanisa na misikiti na kujipenyeza kwa hata wenza ndani ya ndoa.
Wasaliti wote na wabia wao watashughulikiwa kwa mujibu wa katiba. Waandalieni tu pa kukaa na kujiliwaza. Amen.
Haitaishia hapo tu, Sitashangaa kusikia wakiteuliwa na Rais kwenye nyadhifa nyingine kubwa.Naona Mdee ghafla amekuwa kipenzi cha CCM.
Cynicism.....Siasa koko ni kukumbatia upumbavu wa akina mdee , Siasa safi ni kuwafukuza akina mdee ingawa wakifukuzwa utakosa uteuzi na mgao
Manake SHETANI hakutembelei wewe....Yuda Iskariote alikuwa mwanafunzi wa Yesu.
Aliaminika mpaka kuwa mtunza hazina. Baada ya miaka karibu minne ya kufanya kazi ya Mungu akiwa karibu kabisa na Yesu Kristo, bila kupepesa macho alipokea mpunga na kumsaliti. Hiyo ndio kazi ya shetani na hana aibu wala mipaka, huenda hata ndani ya makanisa na misikiti na kujipenyeza kwa hata wenza ndani ya ndoa.
Wasaliti wote na wabia wao watashughulikiwa kwa mujibu wa katiba. Waandalieni tu pa kukaa na kujiliwaza. Amen.