BAVICHA: Tumesikitishwa sana na walioenda kuapa, ni kitendo cha usaliti, hujuma na hakiwezi kuvumilika. Wataka hatua kali zichukuliwe

BAVICHA: Tumesikitishwa sana na walioenda kuapa, ni kitendo cha usaliti, hujuma na hakiwezi kuvumilika. Wataka hatua kali zichukuliwe

Wewe ndiyo mshamba wa siasa njaa za kuendekeza ruzuku haramu za kishetani na kutelekeza msitakabali wa chama, chama kitwzikwa wakisalia hao punje njaa 19 , heshima ikibakia chama kitaimarika wapo wanawake wengi wa shoka wenye Akili timamu siyo wasagaji kama Bulaya na mdee, chadema inayo hazina kubwa ya wanawake hao akina mdee ni punje tu
Minyoo jiheshimu kaka...

Hao unawatuhumu HIVYO umeshawahi KUWASHUHUDIA?!!!

WEKA USHAHIDI tuuone....

Vinginevyo ni KUTAPATAPA kwa matusi na Kukosa UTU tu
 
.
Kama mlijua mdee ana ushawishi mbona mmempora ubunge kwa njia haramu za kishetani kule kawe
....ana ushawishi mkubwa wa KISIASA "ndani" ya CHADEMA....

Mnawabagua wanawake....
Mna mfumo DUME WA KIBAGUZI....
 
Minyoo jiheshimu kaka...

Hao unawatuhumu HIVYO umeshawahi KUWASHUHUDIA?!!!

WEKA USHAHIDI tuuone....

Vinginevyo ni KUTAPATAPA kwa matusi na Kukosa UTU tu
Nikuletee ushahidi wapi? Gheto kwa Bulaya au kwa mdee au kwa boss wako polepole uliyefanya nae udalali?
 
Nyumbu ni CCM kwani hata mbugani nyumbu ni wengi kama CCM
Ndiyo maana wakawazidi makamanda kwa idadi ya kura sababu ni wengi, Sasa mbona mnalialia eti mmeibiwa kura?
Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu!
Nyumbu hovyo kabisa.
 
Chadema mbona Ina nguvu mpaka Sasa.
Au umesahau kuwa watu wale wa chamwino Ni kura feki na wizi wa kura ndo vimewasaidia?.
Hauwezi kusema chadema imekufa wakati ccm wameiba kura na kutengeneza kura feki
CCM iibe kura dhidi ya mgombea yupi?
Mgombea wenu alikuwa sera zipi?
Hizi move zenu za kura nani anahagaika nazo
 
.

....ana ushawishi mkubwa wa KISIASA "ndani" ya CHADEMA....

Mnawabagua wanawake....
Mna mfumo DUME WA KIBAGUZI....
Kusingekuwa na umoja wa wawanawake kama kungekuwa na ubaguzi ndiyo maana wametumia mfumo Jike kujiteua kienyeji kishamba na kishetani kwenda utumwani kwa Ndungai
 
Chadema inakwenda KUSHINDWA KUWALIPA MISHAHARA WAFANYAKAZI WAKE pale UFIPA NA NCHI NZIMA....

Ruzuku ni HAKI YENU...
Ruzuku ni HALALI YENU...

CHADEMA msiwafukuze akina Mdee...tumieni BUSARA....

KALAGHABAHO
 
Kwa miaka 5 ijayo hii inaweza kua ndio taswira mpya ya siasa ndani ya chadema
 
Ndiyo maana wakawazidi makamanda kwa idadi ya kura sababu ni wengi, Sasa mbona mnalialia eti mmeibiwa kura?
Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu!
Nyumbu hovyo kabisa.
Nyumbu ni CCM na CCM wengi huwa siyo wapiga kura kwani wengi wapo CCM kulinda mali zao wasibambikiwe kesi kupata uonevu lakini moyoni hawana vyama
 
Chadema inakwenda KUSHINDWA KUWALIPA MISHAHARA WAFANYAKAZI WAKE pale UFIPA NA NCHI NZIMA....

Ruzuku ni HAKI YENU...
Ruzuku ni HALALI YENU...

CHADEMA msiwafukuze akina Mdee...tumieni BUSARA....

KALAGHABAHO
Chadema ina vyama rafiki Duniani kote kuanzia America UK German, France na umoja wa falume za kiarabu pesa za mishahara siyo haba ni bora isalie kuwa heshima kuliko kukaa na kudharaulika Nchi nzima
 
Mnakwenda kuwavuruga wanaCDM....

Leo Hallima Mdee Ni Mnafiki wa kustahili kuja CCM?!!!
Mtu aliepambana USICHANA WAKE WOTE mpaka leo amekuwa dada mtu mzima?!!

Mnafiki na msaliti ni yeye ama WEWE kutokutoka YALE MAANDAMANO YA AMANI?!!

Minyoo hakuandamana.....
SKY ECLAT hakuandamana....
ERTHYROCYTE hakuandamana...
Salary Slip hakuandamana.....

Mdee Kalala mahabusu na kudhalilika mara KIBAO....
Esther Matiko mpaka VIDEO ZIPO....

WOTE HAO NI WASALITI EEE?

ILA MBOWE ALIYEBADILI GIA ANGANI BAADA YA MSHENGA KWENDA...na mh.Lowassa kuingia...ule haukuwa Ni USALITI NA UNAFIKI EEE?!!!
Yuda Iskariote alikuwa mwanafunzi wa Yesu.
Aliaminika mpaka kuwa mtunza hazina. Baada ya miaka karibu minne ya kufanya kazi ya Mungu akiwa karibu kabisa na Yesu Kristo, bila kupepesa macho alipokea mpunga na kumsaliti. Hiyo ndio kazi ya shetani na hana aibu wala mipaka, huenda hata ndani ya makanisa na misikiti na kujipenyeza kwa hata wenza ndani ya ndoa.
Wasaliti wote na wabia wao watashughulikiwa kwa mujibu wa katiba. Waandalieni tu pa kukaa na kujiliwaza. Amen.
 
Kuna CHAMA kikosacho UMOJA WA WANAWAKE?!!

Kwani WANAOWABAGUA wanawake hawaishi nao?!!!

CHADEMA mnakwenda kufa kwa sababu ya SIASA KOKO....
Siasa koko ni kukumbatia upumbavu wa akina mdee , Siasa safi ni kuwafukuza akina mdee ingawa wakifukuzwa utakosa uteuzi na mgao
 
Yuda Iskariote alikuwa mwanafunzi wa Yesu.
Aliaminika mpaka kuwa mtunza hazina. Baada ya miaka karibu minne ya kufanya kazi ya Mungu akiwa karibu kabisa na Yesu Kristo, bila kupepesa macho alipokea mpunga na kumsaliti. Hiyo ndio kazi ya shetani na hana aibu wala mipaka, huenda hata ndani ya makanisa na misikiti na kujipenyeza kwa hata wenza ndani ya ndoa.
Wasaliti wote na wabia wao watashughulikiwa kwa mujibu wa katiba. Waandalieni tu pa kukaa na kujiliwaza. Amen.
Naunga mkono hoja yako kwa 100%
 
Siasa koko ni kukumbatia upumbavu wa akina mdee , Siasa safi ni kuwafukuza akina mdee ingawa wakifukuzwa utakosa uteuzi na mgao
Cynicism.....

Hamjui MTAKACHO katika "hizi siasa za afrika"...

Kama sivyo,basi nyinyi mna DELUSION.....

Endelea na Argumentum ad hominem zako....
 
Yuda Iskariote alikuwa mwanafunzi wa Yesu.
Aliaminika mpaka kuwa mtunza hazina. Baada ya miaka karibu minne ya kufanya kazi ya Mungu akiwa karibu kabisa na Yesu Kristo, bila kupepesa macho alipokea mpunga na kumsaliti. Hiyo ndio kazi ya shetani na hana aibu wala mipaka, huenda hata ndani ya makanisa na misikiti na kujipenyeza kwa hata wenza ndani ya ndoa.
Wasaliti wote na wabia wao watashughulikiwa kwa mujibu wa katiba. Waandalieni tu pa kukaa na kujiliwaza. Amen.
Manake SHETANI hakutembelei wewe....
Manake SHETANI hamtembelei MBOWE MNYIKA SALUM MWALIMU NA JOHN PAMBALU....
Manake SHETANI hamtembelei SKY ECLAT MINYOO NA ERYTHROCYTE....

Ninyi mko deluded na hamtaki kutambaa vyema na "siasa zetu za afrika".....

Hivi SHETANI hakukutembelea UKAMUASI mh.Lissu na Yale maandamano yake ya AMANI?!!
 
Back
Top Bottom