BAVICHA: Tumesikitishwa sana na walioenda kuapa, ni kitendo cha usaliti, hujuma na hakiwezi kuvumilika. Wataka hatua kali zichukuliwe

BAVICHA: Tumesikitishwa sana na walioenda kuapa, ni kitendo cha usaliti, hujuma na hakiwezi kuvumilika. Wataka hatua kali zichukuliwe

Mbowe alibadilisha GIA angani sijui kwa "msukumo gani"?!!!

Lowassa akaingia CHADEMA...

Pamoja na YOTE ninaamini mh.Mbowe ALITAKA RUZUKU YA CHAMA IONGEZEKE kwa kuwa na wabunge WENGI....

Leo akina MDEE wanakwenda KUSIMAMIA DEMOKRASIA NA MPATE RUZUKU...mnawaita WASALITI....

PATHETIC
Akina mdee wameubaka mfumo wa uteuzi kwa kujiteua kienyeji kwa njia haramu za kishetani
 
hawa watu wanataka kutukosesha uhondo wa halima na rashidi vijibwa koko chini ya dj mgogo ndugai.
 
Mnaendeshaje chama bila RUZUKU?!!

MBONA MMECHANGISHA walalahoi kampeni za juzi za TUNDU LISSU?!!

Mbona mliomba tuwachangie zile milioni 300 muwatoe RUMANDE watu wenu?!!
Hukulazimishwa kuchangia na kwanza hukuchangia. Hatuna shida na chochote kinachotokana na uchaguzi haramu.
 
Mnaendeshaje chama bila RUZUKU?!!

MBONA MMECHANGISHA walalahoi kampeni za juzi za TUNDU LISSU?!!

Mbona mliomba tuwachangie zile milioni 300 muwatoe RUMANDE watu wenu?!!
Dili hilo ni la mbowe na Salum mwalimu na hao wakike waliouzwa kitumwa kwa Ndungai wengine akina Lisu na mnyika walizungukwa hawajui mchongo unavyokwenda
 
Yaani kuna fikra za kuangalia mwisho wa pua.
Niko kinyume na mawazo ya kuwafukuza hawa wadada. Baada ya uchaguzi lazima maisha yaendelee. Lazima siasa ziendelee.
Piga ua garagaza hata mkiwatimua toka chamani, hawa watakuwa wabunge kwa kipindi cha miaka mitano wakiitwa wabunge wa Chadema. Mbona hamsomi alama za nyakati? Bunge lililo pita mmesha sahau?
Waacheni wachape kazi. Kinyume na hivyo mnakwenda kuwa kama Cuf soon..
 
Hukulazimishwa kuchangia na kwanza hukuchangia. Hatuna shida na chochote kinachotokana na uchaguzi haramu.
Kwanini MLIOMBA WATU WAWACHANGIE nanyi "wakwasi"?!!

Una uhakika hawako CCM waliowachangia?!!!

Una uhakika wasio na vyama hawakuwachangia?!!

Mngekuwa VIZURI msingeomba KUCHANGIWA...
 
...

....alianza MBOWE Lile INGIZO LA LOWASSA....
Mbowe baada ya kuona hakuna ruzuku kaamua kuchukua bilion 3 kawauza kitumwa wanawake kwa Ndungai kagawana na Salum mwalimu pekee wengine kawatupa pembeni ndiyo maana kuna mvutano mkubwa sasa
 
Dili hilo ni la mbowe na Salum mwalimu na hao wakike waliouzwa kitumwa kwa Ndungai wengine akina Lisu na mnyika walizungukwa hawajui mchongo unavyokwenda
🤣🤣🤣
Leo UNAMKATAA HADHARANI MWENYEKITI wako KIPENZI...

Leo hii eee?!!!

Mbona hukumkataa kipindi kile "anawaopitisha wabunge wa viti maalum AWATAKAO"?!!!

Nyinyi mnapenda CHEZO LA KADENGE...🤣
 
when the going gets tough, the tough get going
 
Kwanini MLIOMBA WATU WAWACHANGIE nanyi "wakwasi"?!!

Una uhakika hawako CCM waliowachangia?!!!

Una uhakika wasio na vyama hawakuwachangia?!!

Mngekuwa VIZURI msingeomba KUCHANGIWA...
Tunachangiwa na wananchi wenye mapenzi mema na Tuts Ido kuwaomba watuchangie. Hatujitaji hela ya dhuruma.
 
Yaani kuna fikra za kuangalia mwisho wa pua.
Niko kinyume na mawazo ya kuwafukuza hawa wadada. Baada ya uchaguzi lazima maisha yaendelee. Lazima siasa ziendelee.
Piga ua garagaza hata mkiwatimua toka chamani, hawa watakuwa wabunge kwa kipindi cha miaka mitano wakiitwa wabunge wa Chadema. Mbona hamsomi alama za nyakati? Bunge lililo pita mmesha sahau?
Waacheni wachape kazi. Kinyume na hivyo mnakwenda kuwa kama Cuf soon..
Wasipowafukuza haraka ndipo watakuwa kama CUF ya Lipumba NCCR na TLP, lakini wakifukuzwa chadema itaheshimika kwa kuwa na misimamo thabiti na itaongeza wanachama zaidi na kuwa imara zaidi
 
...
Mbowe baada ya kuona hakuna ruzuku kaamua kuchukua bilion 3 kawauza kitumwa wanawake kwa Ndungai kagawana na Salum mwalimu pekee wengine kawatupa pembeni ndiyo maana kuna mvutano mkubwa sasa

Usiwatukane akina MDEE...

Kwani hata wewe unaweza "kuuzwa" kulingana na NYAKATI..🤣🤣

Acheni UNAFIKI...
ACHENI KUTANGULIZA HISIA BADALA YA UHALISIA.....

Kwangu mimi wauzwe ama wanunuliwe SI DILI...kwani KUUZANA HAKUJAANZA LEO...na hata huku "kwetu" huwa YANATOKEA...it's life...CHA MUHIMU NI KUTHAMINI MCHANGO WA MDEE NA HAO WANAWAKE WENZAKE 18 huko aendako BUNGENI...
 
Mwenyekiti wenu MWIZI WA KURA[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Na yeye ndo mgombanishi wa chadema
Pesa iliyotumika kuwanunua kitumwa hao wanawake tokea chadema ni pesa nyingi mno ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi ndiyo maana wananchi wanakasirika pesa zao za kodi kutumika hovyo kwa mambo yasiyo na tija kwa Taifa
 
Leo baraza la vijana wa CHADEMA Taifa limetoa msimamo kufuatia wabunge 19 ambao wamekwenda kuapa bungeni kinyume na msimamo wa chama.

MWENYEKITI: BAVICHA tulikutana katika kikao chetu tulichokifanya kwa njia za kidijitali kujadili mustakabali wa chama chetu kufuatia kadhia hii iliyotokea katika chama.

Jambo la kwanza ambalo BAVICHA tumekubaliana ni kuunga mkono msimamo wa chama chetu, kwanza kutotambua matokeo ya uchaguzi, kutoutambua uchaguzi wote na matokeo yake yote. Huo msimamo wa kwanza ambao umekuwa ukitangazwa na chama chetu kuanzia mwanzo huo ndio msimamo wa BAVICHA.

Pili tunaunga mkono msimamo wa chama juu ya hawa ambao walienda kuapa, walioenda kinyume na muongozo wa chama chetu, tunaunga mkono msimamo wetu wa chama kwamba watu hawa waitwe hatua za kinidhamu ziweze kuchukuliwa dhidi yao.

Tunaunga mkono msimamo wa chama kwasababu kamati kuu ya CHADEMA ambayo ina uwakilishi wa vijana kwenye kamati hiyo na muwakilishi wa vijana hao ni mimi, katika vikao vya kamati kuu ya chama hatukuwahi kujadili, hatujawahi kupitisha orodha yoyote ya wabunge wa viti maalum.

Hatujawahi kujadili, hatujawahi kupitisha orodha yoyote ya wabunge wa viti maalum. Vijana wa CHADEMA tumekubaliana kuitaka tume ya uchaguzi ijitokeze hadharani iseme waziwazi orodha ya viti maalum ambayo tume inasema eti ni ya CHADEMA imetoka kwa nani katika mamlaka za chetu chetu.

Sisi kama BAVICHA kwanza tumesikitishwa sana na hawa watu walioenda kuapa, ni kitendo cha usaliti, hujuma na hakiwezi kuvumilika na taasisi yoyote na kwakuwa katibu mkuu amesema wanaruhusu maoni na mapendekezo ya wanachama ili chama kiweze kuchukua hatua, sisi kama kamati ya utendaji tumekaa na tumeamua kwa kauli moja tuishauri kamati kuu ya chama ichukue hatua kali za kinidhamu kwa watu hawa kwa ajili ya mustakabali wa chama chetu.

Hatua kali za kinidhamu zichukuliwe kwa ajili ya hawa 19 ambao walienda kuapa kama wabunge wa viti maalum, nitawakilisha mapendekezo hayo ya BAVICHA lakini kwa sasa tunaungana na wanachadema wote na watanzania ambao wanataka hawa watu 19 bila kujali nafasi, bila kujali wamefanya nini katika chama hiki lakini kwasababu ya usaliti huu lazima hatua za kinidhamu zichukuliwe na chama chetu.

Maigizo tu Kama kawaida yenu pingapinga Fc, hayo maamuzi siyo ya halima ni ya saccos nzima mtu hawezi kujipeleka mwenyewe bungeni bila doc toka kwa mamlaka husika na anaapishwa kuwa mbunge. Hilo lingekuwa linawezekana Kila mtu angeenda kujaribu bahati Yake.
Hawa viongozi wanawaona nyie nyumbu hamna akili wanafanya wanavyotaka halafu wanasema tofauti.
 
Tunachangiwa na wananchi wenye mapenzi mema na Tuts Ido kuwaomba watuchangie. Hatujitaji hela ya dhuruma.
Hela ya dhuluma ni "ipi"?

Hivi nyumba za IBADA wanazipiga CT SCAN fedha TUZITOAZO eee?!!

Mkiwafukuza kina MDEE mnakwenda KUKOSA RUZUKU NA KUUMIA KIUCHUMI...

Mnataka msiwalipe MISHAHARA STAFFERS wenu?!!!
 
walikuwa wanamwita "iron lady".
Iko wazi kabisa, wengi tulimpenda na kumthamini sana, lakini kachemsha.
Na huyo atakaetambulika ndani chama kuwa alikuwa mbia wa njama hizo nae hivyohivyo.
 
Hivi huko Bavicha hakuna mwanamke kiongozi ambaye angeweza kutoa ilo tamko. Ni aibu wanaume kushinikiza maamuzi yao juu ya wanawake. Ndio maana wanetengewa viti maalum. Mfumo dume inabidi ukomeshwe.
 
...

Usiwatukane akina MDEE...

Kwani hata wewe unaweza "kuuzwa" kulingana na NYAKATI..🤣🤣

Acheni UNAFIKI...
ACHENI KUTANGULIZA HISIA BADALA YA UHALISIA.....

Kwangu mimi wauzwe ama wanunuliwe SI DILI...kwani KUUZANA HAKUJAANZA LEO...na hata huku "kwetu" huwa YANATOKEA...it's life...CHA MUHIMU NI KUTHAMINI MCHANGO WA MDEE NA HAO WANAWAKE WENZAKE 18 huko aendako BUNGENI...
Wewe ndiyo mnafiki kubariki vitendo haramu vya kishamba na kishetani vilivyofanywa na akina mdee kisa wewe ni mnufaika wa huo mgao, acheni kuchezea kodi za watanzania kwa mambo ya hovyo yasiyo na tija kwa Taifa
 
Back
Top Bottom