Wadau amani iwe nanyi.
Ni Jambo la kusikitisha Sana vijana wa chama mbadala wa chama tawala kufumbia macho wizi ndani ya chama Chao.
Wananchi walitarajia kuwaona vijana wa chadema wakiwa wamechachamaa kuwataka viongozi wao wajihudhuru kupisha uchunguzi wa wizi wa kununua helkopita hewa badala yake Sasa wanawalinda na kuwakingia kifua hao wezi!!
Kama wanalindana hivi kabla ya kushika dola, je wakiingia madarakani itakuwaje?
Bavicha amkeni kwa kulinda wezi mnaharibu chadema na hamna atakayewaamini Tena.
Msikwepe elezeni kwanza zilipo trn 1.5, tangu kuumbwa kwa Tanzania haijawahi kutokea ufisadi mkubwa kama huu.Wadau amani iwe nanyi.
Ni Jambo la kusikitisha Sana vijana wa chama mbadala wa chama tawala kufumbia macho wizi ndani ya chama Chao.
Wananchi walitarajia kuwaona vijana wa chadema wakiwa wamechachamaa kuwataka viongozi wao wajihudhuru kupisha uchunguzi wa wizi wa kununua helkopita hewa badala yake Sasa wanawalinda na kuwakingia kifua hao wezi!!
Kama wanalindana hivi kabla ya kushika dola, je wakiingia madarakani itakuwaje?
Bavicha amkeni kwa kulinda wezi mnaharibu chadema na hamna atakayewaamini Tena.
Tukishajua trilioni 1.5 ilipo ni rahisi kujua billion 7 iko wapi maana mkubwa kala nyingi so hana moral outhority ya kuuliza hiyo bi 7 ilipo laiti kwake kusingekua na loss ya 1.5trl uuuuwiiii cpati c ajabu angeagiza chadema wafutwe dunia..utasikia mi nahangaika wao wanaiba nawangalia tu hafu nacheka ehiiiiiiiiiiiiiiWadau amani iwe nanyi.
Ni Jambo la kusikitisha Sana vijana wa chama mbadala wa chama tawala kufumbia macho wizi ndani ya chama Chao.
Wananchi walitarajia kuwaona vijana wa chadema wakiwa wamechachamaa kuwataka viongozi wao wajihudhuru kupisha uchunguzi wa wizi wa kununua helkopita hewa badala yake Sasa wanawalinda na kuwakingia kifua hao wezi!!
Kama wanalindana hivi kabla ya kushika dola, je wakiingia madarakani itakuwaje?
Bavicha amkeni kwa kulinda wezi mnaharibu chadema na hamna atakayewaamini Tena.
Hamna wizi mdogoTukishajua trilioni 1.5 ilipo ni rahisi kujua billion 7 iko wapi maana mkubwa kala nyingi so hana moral outhority ya kuuliza hiyo bi 7 ilipo laiti kwake kusingekua na loss ya 1.5trl uuuuwiiii cpati c ajabu angeagiza chadema wafutwe dunia..utasikia mi nahangaika wao wanaiba nawangalia tu hafu nacheka ehiiiiiiiiiiiiii
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] tanzania ya sasa kweli imebadirika yaan mtu unakomaza shingo kwa kuuliza billion 7 ziko wapi wakati kuna mtu amekula bilion 1500 na bado anasema tumuombeeeWadau amani iwe nanyi.
Ni Jambo la kusikitisha Sana vijana wa chama mbadala wa chama tawala kufumbia macho wizi ndani ya chama Chao.
Wananchi walitarajia kuwaona vijana wa chadema wakiwa wamechachamaa kuwataka viongozi wao wajihudhuru kupisha uchunguzi wa wizi wa kununua helkopita hewa badala yake Sasa wanawalinda na kuwakingia kifua hao wezi!!
Kama wanalindana hivi kabla ya kushika dola, je wakiingia madarakani itakuwaje?
Bavicha amkeni kwa kulinda wezi mnaharibu chadema na hamna atakayewaamini Tena.
Laiti msingekwapua Tril 1.5, nazani mgewauwa wanachadema wote.Majizi ya Chadema kiama chao kimefika.
Tokea lini ukasikia mwenye mali kajiibia,Chadema ndio wezi,tena msajili wa vyama akifungie kufanya siasa kwa muda wa miaka ishirini.Laiti msingekwapua Tril 1.5, nazani mgewauwa wanachadema wote.
1.5 trillion mmepeleka wapi?Wadau amani iwe nanyi,
Ni jambo la kusikitisha sana vijana wa chama mbadala wa chama tawala kufumbia macho wizi ndani ya chama chao.
Wananchi walitarajia kuwaona vijana wa CHADEMA wakiwa wamechachamaa kuwataka viongozi wao wajiuzulu kupisha uchunguzi wa wizi wa kununua helkopta hewa badala yake sasa wanawalinda na kuwakingia kifua hao wezi.
Kama wanalindana hivi kabla ya kushika dola, je wakiingia madarakani itakuwaje? BAVICHA amkeni kwa kulinda wezi mnaharibu CHADEMA na hamna atakayewaamini tena.
Ila majizi ya nchi kiama chao bado hakijafika. Yaani CHADEMA wamekula hela ya ruzuku wala sio shida sana ila nyinyi mliokula hela za kununulia dawa na kufanya maendeleo ya nchi inabidi mtafutie msalaba wa kusulubiwa.Majizi ya Chadema kiama chao kimefika.
Tumeifungia kwenye kabati, haya na nyinyi hizo bilioni mia saba?!!1.5 trillion mmepeleka wapi?
Kamuulize mbowe na genge lake.Tumeifunga kwenye kichwa cha mb*o,haya na nyinyi hizo bilioni mia saba?!!
Awamu hii hakuna ufisadi kabisa hii 1.5 trillion ni udokozi tuWadau amani iwe nanyi,
Ni jambo la kusikitisha sana vijana wa chama mbadala wa chama tawala kufumbia macho wizi ndani ya chama chao.
Wananchi walitarajia kuwaona vijana wa CHADEMA wakiwa wamechachamaa kuwataka viongozi wao wajiuzulu kupisha uchunguzi wa wizi wa kununua helkopta hewa badala yake sasa wanawalinda na kuwakingia kifua hao wezi.
Kama wanalindana hivi kabla ya kushika dola, je wakiingia madarakani itakuwaje? BAVICHA amkeni kwa kulinda wezi mnaharibu CHADEMA na hamna atakayewaamini tena.
CCM mmechukua hatua gani hapa kwa huu ufisadi??Wadau amani iwe nanyi,