BAVICHA wafumbia macho wizi wa billioni 7 ndani ya CHADEMA

BAVICHA wafumbia macho wizi wa billioni 7 ndani ya CHADEMA

Wadau amani iwe nanyi,

Ni jambo la kusikitisha sana vijana wa chama mbadala wa chama tawala kufumbia macho wizi ndani ya chama chao.

Wananchi walitarajia kuwaona vijana wa CHADEMA wakiwa wamechachamaa kuwataka viongozi wao wajiuzulu kupisha uchunguzi wa wizi wa kununua helkopta hewa badala yake sasa wanawalinda na kuwakingia kifua hao wezi.

Kama wanalindana hivi kabla ya kushika dola, je wakiingia madarakani itakuwaje? BAVICHA amkeni kwa kulinda wezi mnaharibu CHADEMA na hamna atakayewaamini tena.
Badilisha heading isomeke uvccm uashindwa kuwawajibisha viongozi wa ccm juu ya ulaji wa sh. 12 bilioni na nyingine trillion 1.5 hazijulikani zilipo! Hivi baada ya miaka mitano ya uongozi wao kuisha hazina itakuwa na pesa kweli? Usikwepe kuwauliza hao wenzako kwani 7 na 12 ipi kubwa?
 
Tokea lini ukasikia mwenye mali kajiibia,Chadema ndio wezi,tena msajili wa vyama akifungie kufanya siasa kwa muda wa miaka ishirini.
Mwenye mali ni mimi ninayelipa kodi na siyo ccm inayosubiri nitafute ndio ijigawie na kuitafuna kwani siwalipi ili wale bali wafanyie maendeleo! Eti mwenye mali hajiibii! Lini ccm hazina ikawa mali yenu?
 
Wananchi tunahoji serikali kuhusu 1.5t, na kama wanachama tunahoji 7b zilipo. Kama ndani ya chama tuko wachafu tunawezaje kutoka kuihoji serikali? Kwanini chama kikose hati safi? Uongozi lazima ujitokeze kulitolea majibu kashfa hii
 
CHADEMA,CCM.CUFLIPUMBA NA MAGUFULI wote wezi kwenye report CAG isipokuwa tu Magu kawazidi wenzake kwenye wizi kicheo Magu yeye ni “Senior Thief.”
 
Chadema ni waizi! waizi! waizi! hakuna mjadala.
 
Wadau amani iwe nanyi,

Ni jambo la kusikitisha sana vijana wa chama mbadala wa chama tawala kufumbia macho wizi ndani ya chama chao.

Wananchi walitarajia kuwaona vijana wa CHADEMA wakiwa wamechachamaa kuwataka viongozi wao wajiuzulu kupisha uchunguzi wa wizi wa kununua helkopta hewa badala yake sasa wanawalinda na kuwakingia kifua hao wezi.

Kama wanalindana hivi kabla ya kushika dola, je wakiingia madarakani itakuwaje? BAVICHA amkeni kwa kulinda wezi mnaharibu CHADEMA na hamna atakayewaamini tena.
Chadema wezi saana. Halafu wanajikausha kama sio wao vile.
 
Hako kajitu ka Kongo kachawi! kachawi! kachawi!
 
teh the mkuu unaweza kata tawi ulilokalia? hujaona hata polepole anatetea upotevu wa ruzuku za ccm kwa mikopo hewa?
 
Sio unakurupuka tu kuandika uzi wewe pimbi wa rumumba Sio billion 7, ni million 700

Jiulize ndani ya iyo million 700, ata kama watasema wanaitumia kumtibu tundu lissu inaleta mantiki

Sasa serikali ya awamu ya tano tuonyesheni implementation ya billion 1500 ipo wapi
 
Kama serikali yenyewe imeishia kuanzisha mahakama za ufisadi tu ila haiwaoni mafisadi hao chadema watafanya nini.
 
Mafisadi wa Chadema ni wakuogopwa hayo mamilioni hata yalikopitia hayajulikani..daah!!
 
Kuna tofauti kati ya
Chao CHADEMA -BILLIONS 12
Chetu SERIKALINI -TRILION 1.5
 
Laiti msingekwapua Tril 1.5, nazani mgewauwa wanachadema wote.
True .... zisingekuwa hizi 1.5 Trillion sawa hivi PCCB wangekuwa wamepiga kambi Ufipa naakina Mbowe wangekuwa wamerudishwa Segerea.
 
Hata kwenye Escrow walijitetea hv hv...
Akaja baba yao Kutoka Kule USA kwenye Tezi Dume nae akawatetea sana..
Akina Tibaijuka wakatemwa na mkuu ili kupoteza watu Maboya. Lakini mwisho wa siku Escrow ulikuwa Ufisadi.

Tumechoka hamna aibu wala huruma
 
Back
Top Bottom